Mkuu kuna makaratasi yanaitwa kwa kingoni Butcher's paper au makaratasi ya bucha kwa lugha yetu. Ni mazuri sana na yanatumika kufungia nyama nchi zilizoendelea. Nadhani itabidi wenye mabucha wayanunue. Anaifunga nyama kwanza kwenye hilo karatasi halafu ndiyo inawekwa kwenye mfuko.Nyama tutawekea wapi
Tuonesheni mifuko yake pia
Ova
Ok safiMkuu kuna makaratasi yanaitwa kwa kingoni Butcher's paper au makaratasi ya bucha kwa lugha yetu. Ni mazuri sana na yanatumika kufungia nyama nchi zilizoendelea. Nadhani itabidi wenye mabucha wayanunue. Anaifunga nyama kwanza kwenye hilo karatasi halafu ndiyo inawekwa kwenye mfuko.
View attachment 1109647