Mifugo 4000 yafa kwa ukame Simanjiro

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,410
MIFUGO.jpg
Mifugo zaidi ya 4,000 ya wafugaji wa Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, imekufa kwa kukosa maji na malisho kutokana na ukame ulioikumba wilaya hiyo.

Wakizungumza juzi kuhusiana na tatizo hilo, wafugaji hao walidai kuwa ukame uliozikumba sehemu mbalimbali wilayani humo umesababisha mifugo yao ikiwamo ng’ombe, mbuzi na punda kufa.

Alex Mollel mmoja kati ya wafugaji hao alisema yeye binafsi amepoteza zaidi ya ng’ombe 250 kutokana na ukame na wafugaji wengi pia wamepata hasara kutokana na ukame huo ambao haujawahi kutokea.

“Huu ukame wa kipindi hiki umetusababishia hata bwawa la Kidawashi kukauka na pia mifugo imekosa maji na malisho hali inayosababisha hasara kubwa kwa wafugaji wengi,” alisema Mollel.

Alice Laizer alisema wingi wa mifugo umesaidia wafugaji wengine kubaki na baadhi ya mifugo baada ya mingine kufa, kwani endapo wangekuwa na mifugo michache, wengi wao wangeishiwa mifugo yote.

“Mfano kina Orenji walikuwa na ng’ombe 2,500 na hao 500 wakafa hivyo wamebaki ngombe 2,000 na baada ya miaka miwili au mitatu hiyo iliyobaki itazaana na kurudia idadi ya awali,” alisema Laizer.

Chanzo: Mwananchi
 
Mungu awapiganie wana simanjiro, serikali imejifungia ndani kupisha upepo wa bashite watarudi soon hali ya hewa ikitulia
 
Mifugo zaidi ya 4,000 ya wafugaji wa Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, imekufa kwa kukosa maji na malisho kutokana na ukame ulioikumba wilaya hiyo.

Wakizungumza juzi kuhusiana na tatizo hilo, wafugaji hao walidai kuwa ukame uliozikumba sehemu mbalimbali wilayani humo umesababisha mifugo yao ikiwamo ng’ombe, mbuzi na punda kufa.

Alex Mollel mmoja kati ya wafugaji hao alisema yeye binafsi amepoteza zaidi ya ng’ombe 250 kutokana na ukame na wafugaji wengi pia wamepata hasara kutokana na ukame huo ambao haujawahi kutokea.

“Huu ukame wa kipindi hiki umetusababishia hata bwawa la Kidawashi kukauka na pia mifugo imekosa maji na malisho hali inayosababisha hasara kubwa kwa wafugaji wengi,” alisema Mollel.

Alice Laizer alisema wingi wa mifugo umesaidia wafugaji wengine kubaki na baadhi ya mifugo baada ya mingine kufa, kwani endapo wangekuwa na mifugo michache, wengi wao wangeishiwa mifugo yote.

“Mfano kina Orenji walikuwa na ng’ombe 2,500 na hao 500 wakafa hivyo wamebaki ngombe 2,000 na baada ya miaka miwili au mitatu hiyo iliyobaki itazaana na kurudia idadi ya awali,” alisema Laizer.

Chanzo: Mwananchi
Mungu tusaidie
 
Hayo makundi makubwa ya mifungo ndiyo chanzo cha migogoro Kati ya wakulima na wafugaji.

Hao wamasai hawaheshimu hata mipaka inapowekwa kwa hiyo Mimi naona inapaswa huu ukame uendelee tu ili tupate suluhisho la kudumu la hii migogoro.

Hao jamaa wapuuzi sana.
 
Hao wakina orenji wakiuza hao ng'ombe kwa laki 6 kwa idadi ya ng'ombe 2,000 wanakuwa na jumla ya shilingi 1,200,000,000

...(bilioni moja na milion mia mbili)
 
Hao wafugaji waliwangalia hao mifugo wao tu hadi wakafa?Ina maana walishindwa kuwapunguza kwa kuwauza kabla hali hijawa tete?
 
Wajinga hao kwanini wasinge wauza?? Hivi kweli mpaka wanafika 500 unawaangalia tu?
 
Mifugo zaidi ya 4,000 ya wafugaji wa Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, imekufa kwa kukosa maji na malisho kutokana na ukame ulioikumba wilaya hiyo.

Wakizungumza juzi kuhusiana na tatizo hilo, wafugaji hao walidai kuwa ukame uliozikumba sehemu mbalimbali wilayani humo umesababisha mifugo yao ikiwamo ng’ombe, mbuzi na punda kufa.

Alex Mollel mmoja kati ya wafugaji hao alisema yeye binafsi amepoteza zaidi ya ng’ombe 250 kutokana na ukame na wafugaji wengi pia wamepata hasara kutokana na ukame huo ambao haujawahi kutokea.

“Huu ukame wa kipindi hiki umetusababishia hata bwawa la Kidawashi kukauka na pia mifugo imekosa maji na malisho hali inayosababisha hasara kubwa kwa wafugaji wengi,” alisema Mollel.

Alice Laizer alisema wingi wa mifugo umesaidia wafugaji wengine kubaki na baadhi ya mifugo baada ya mingine kufa, kwani endapo wangekuwa na mifugo michache, wengi wao wangeishiwa mifugo yote.

“Mfano kina Orenji walikuwa na ng’ombe 2,500 na hao 500 wakafa hivyo wamebaki ngombe 2,000 na baada ya miaka miwili au mitatu hiyo iliyobaki itazaana na kurudia idadi ya awali,” alisema Laizer.

Chanzo: Mwananchi
Hakuna njaa wala ukame Tanzania hadi kolomije na sizonje w
f2ef08eab74b4330608b24986baf41c6.jpg
c08fdd1ffec3d17e0efaedede75f6226.jpg
414f44f1f6730613910edc6729698c6c.jpg
atangaze
 
Hayo makundi makubwa ya mifungo ndiyo chanzo cha migogoro Kati ya wakulima na wafugaji.

Hao wamasai hawaheshimu hata mipaka inapowekwa kwa hiyo Mimi naona inapaswa huu ukame uendelee tu ili tupate suluhisho la kudumu la hii migogoro.

Hao jamaa wapuuzi sana.
Uza upate hela
 
Back
Top Bottom