NOT ENOUGH
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 596
- 309
Sasa wewe ulitegemea awafanyie nini wakati anatokea chama kitoto? hapo mlipoteza kura tu.
Shikamoo Mh Mbunge, napenda kukumbusha kwamba sasa hivi imeshatimia miezi sita tangu uingie bungeni rasmi nafasi ambayo uliipigania sana na Mungu akakusaidia ukaipata. Nadhani umeshahudhuria vikao kama vinne hivi vya bunge ikiwemo hiki cha bajeti. Nimeona leo tuae chini mimi na wewe tupitie ile check list yetu yaani mimi mwananchi na wewe Mh Mbunge. Check list inajumuisha yote yale uliyoongea mwaka jana katika kipindi cha miaka mitatu ukiwa unapambana na Mama yetu Batilda. Mimi check list yote ninayo ila mwenzangu sijui kama ullitunza ili ikusaidie kwenye safari yako ya 2015. Kama hutojali naomba uniwekee check list yako hapa ili niangalie ni lipi umekwishalifanya ndani ya kipindi hiki cha miezi sita.
basi we baki na hizo akili zako za kizamani, serikali ni ccm sasa unataka walete maendeleo kwa mbunge wa upinzani? hii ni siasa bibie sio sindimba. Nyie mtarudi CCM 2015 lasivyo mtakiona cha moto.Chama siyo kinachofanya kazi, kazi inafanywa na Mbunge husika kutokana na uelewa wa mambo na busara zake. Usikae kichama kwenye hii hoja kaa ki perfomance.
Ameanza na uchumi anagawa pesa kwa wapiganaji wa UDOM za kununua bangi na gongo ili waandamane. Msiwe na haraka kuna mengi mazuri yatafuata baadaye.
Shikamoo Mh Mbunge, napenda kukumbusha kwamba sasa hivi imeshatimia miezi sita tangu uingie bungeni rasmi nafasi ambayo uliipigania sana na Mungu akakusaidia ukaipata. Nadhani umeshahudhuria vikao kama vinne hivi vya bunge ikiwemo hiki cha bajeti. Nimeona leo tuae chini mimi na wewe tupitie ile check list yetu yaani mimi mwananchi na wewe Mh Mbunge. Check list inajumuisha yote yale uliyoongea mwaka jana katika kipindi cha miaka mitatu ukiwa unapambana na Mama yetu Batilda. Mimi check list yote ninayo ila mwenzangu sijui kama ullitunza ili ikusaidie kwenye safari yako ya 2015. Kama hutojali naomba uniwekee check list yako hapa ili niangalie ni lipi umekwishalifanya ndani ya kipindi hiki cha miezi sita.
siyo lazima akujibu yeye tuwekee hiyo checklist hapa jamvini pengine hata sisi tunaweza kukujibu kwa ufasaha zaidi kuliko yeye.
Kujenga machinga complex mbili jijini Arusha
basi we baki na hizo akili zako za kizamani, serikali ni ccm sasa unataka walete maendeleo kwa mbunge wa upinzani? hii ni siasa bibie sio sindimba. Nyie mtarudi CCM 2015 lasivyo mtakiona cha moto.
Not Enough we vipi check list yako kaanayo sisi hatuna haja nayo kipaumbele chetu ni maandamano mpaka kieleweke chali wangu.Tumeshatimiza ahadi kibao unakumbuka maandamano ya Arusha walikufa watu watatu hayo si maendeleo ?.Nyamongo hamkumsikia Lema ?,UDOM alikuwepo kaamashisha maandamano ya katiba mpya ?,Unakumbuka maakamani kesi ya Mbowe alishiriki kumbeba unataka nini wewe acha roho mbaya chaliii wangu.
Shikamoo Mh Mbunge, napenda kukumbusha kwamba sasa hivi imeshatimia miezi sita tangu uingie bungeni rasmi nafasi ambayo uliipigania sana na Mungu akakusaidia ukaipata. Nadhani umeshahudhuria vikao kama vinne hivi vya bunge ikiwemo hiki cha bajeti. Nimeona leo tuae chini mimi na wewe tupitie ile check list yetu yaani mimi mwananchi na wewe Mh Mbunge. Check list inajumuisha yote yale uliyoongea mwaka jana katika kipindi cha miaka mitatu ukiwa unapambana na Mama yetu Batilda. Mimi check list yote ninayo ila mwenzangu sijui kama ullitunza ili ikusaidie kwenye safari yako ya 2015. Kama hutojali naomba uniwekee check list yako hapa ili niangalie ni lipi umekwishalifanya ndani ya kipindi hiki cha miezi sita.
mi kuna moja nimeliona amelifanya ni la muhimu ila cjui ka liko kwenye check list; kaanzisha mfuko wa kuwalipia ada za sekondari wanafunzi wanaotoka ktk familia za kipato cha chini so far hadi sasa ni wanafunzi zaidi ya mia nne wanalipiwa na mfuko huu wa mbunge ktk shule mbalimbali za kata hapa Arusha. Programme zingine tutakuwa tunahabarishana as we goes on.
Napendekeza tuanzie ngazi za juu, ile check list ya mgombea wetu wa urasi kwanza, ni miezi sita tayari tuone yapi ameshateleleza? tukimaliza ndiyo tuhamie kwa wabunge.