Labda ungefafanua. Maana nahisi hapo ndo kuna tatizo hasaaa.
Umefika mbali mkuu,
Suala sio K, hizi zinapatikana tu even without relationship ndugu yangu.
Mi nazungumzia mahusiano yenye kuendelea. Wapo ambao sikugusa hata K zao but we ended relationship just because after some few weeks I found no any feelings with them!!
Kaka,
Hilo nkishalifikiria sana.
But single bila kugusa kabisa?
Otherwise ukiacha matatizo yangu, dada zangu pia mnaboa.
Wewe miezi mitano uko hivyohivyo tu, yaani wewe wa leo ndiyo huyo huyo wa Jana na kesho!!
Sio hiyo tu, unaongeza idadi ya disappointed souls zitakazoku haunt!
Tulia, kaa chini omba Mungu itakusaidia!
Wadau,
Umri wangu ni miaka 31 na sijaoa wala hata kufikiria hiki kitu kwa hata miaka mitano ijayo.
Tatizo langu kubwa ni kua toka nlivyoachana na Msichana mmoja hivi yapata miaka mitatu iliyopita nimekua ni Mzee wa "Hit (Eat) and Run" toka miaka hiyo mpaka sasa.
Nimeshakua Na Wasichana zaidi ya watano toka Mwaka 2010 Na wote kwa sababu moja ama ingine tumeachana. Baadhi ya wadau wangu wananiambia kua inawezekana huyo nlieachana nae kabla ya hao naowapitia sasa kaniloga nisipate mwengine ingawa siamini uchawi.
Nikikaa na Mwanamke akfikisha miezi mitano basi ana Bahati sana, na labda atakua mvumilivu sana. Umri unakwenda na Maisha ndio haya.
Nishachangia sana harusi za Wenzangu, kiasi kwamba sasa nao wanamazimisha kunichangia sasa kwa mtu ambae hayupo.
Ndugu na Dada zangu wameshatambulishwa sana mashemeji na mawifi wapya kila kukicha mpaka sasa naona aibu mbele zao.
"Law of Diminishing Marginal Utility" imenia-affect kiasi cha kwamba kumchoka demu mapema ni jambo dogo tu. Wadada wengi wamebaki na vilio baada ya ndoto zao za kuolewa nami kuishia hewani, naona sana Huruma kwa hili but sijui nifanyaje??
Nimekwama kwa hili, nahisi maisha yangu hayatakua mazuri huko mbeleni. Ninaweza kua Na physchological problem, but sijui hata nilitibuje hili tatizo.
Tatizo lako ni kwamba unaingia kwenye mahusiano ili kukidhi tamaa zako za mwili na sio kwa sababu ya mapenzi, toka uachane na huyo girlfriend wako hiyo 3yrs ago hujawahi kupenda tena ila unatamani kila siku! Warembo wapo wa kila aina bado wengine wanazaliwa huwezi kushindana nao itakucost! Give yourself a break one day utapata wa kumpenda na sio kutamani, goodluck!
rudi kwa ex wako,tatizo unamfananisha kila binti na yule uliyemuacha thats it!au pengine alikuumiza sana so unaumiza wengine ili kulipa kisasi bila kujijua!hiyo hali iko ndani yako zaidi wala sio issue ya gals unaodate,WEWE NDO UNA TATIZO!heb jitafit na uangalie kiasi gani u re looking for ur EX in ur new gals?