Mh yakheeeeeee mtindi wa dada aliyeshka glass ya wine unanitoa udenda
wivu tu umekujaaa vp hauna kama hayo nni.................???
Nimegundua hawa mademu wengi wa kibongo vipodozi ndio vinawabeba
angali vizuri utaona eeeeeeehhhhhhhhsioni kitu.....namaanisha picha naiona lakini sioni what is so special about it.
jamani,tutapona kweli?
mitego hii
mara kuna ulimi wa king'asti huku duh
Bashara matangazo bwana. Hope si kwa msaada wa mchina wala jeki
sioni kitu.....namaanisha picha naiona lakini sioni what is so special about it.
Kabinti kana tatizo moja tu kwangu, kamefanana sana na baba yake.
Ila kama kuchagua, nakachagua kenyewe pamoja na kufanana na baba yake maana kako NATURAL. Una kuwa na uhakika katakuzaliwa watoto na siyo hawa akina Sepetu sijui Lulu? Akiamka asubihi anajifungia kwanza bafuni nusu saaa.......
Kifuani kameweka MANTONGA. Hivi Mantonga ni nini jamani kwa Kiswahili kwa wale waliowahi kuishi Tabora? Ni matunda yanakuwa na ukubwa kama wa Machungwa........ Hapo inabidi uweke wimbo wa Mazee Yusuf wa ALAMBA, ALAMBA......