Midomo mibaya

Chunga sana kauli kwakuwa mkono hauwezi kukufikia mbali lakini kauli husafiri na kubeba Roho ya maangamizi....
Kauli ina nguvu kauli ina uhai na ndio maana kwenye mambo mengi huambiwa toa kauli yako ya mwisho.... Maandishi yapo lakini maandishi bila kauli si chochote... Viapo laana na manuizi vyote hivi vimebeba roho
 
Epukana na mtu mwenye mdomo mbaya ni hatari kuliko mchawi wa tunguli
 
Mmh.. Hii kwangu ni kubwa kuliko ufahamu wangu
Sio hilo tu, nina ile hali nikimfikiria mtu, lazima atanitafuta au atakuja nilipo, pia nikiwaza jambo litatokea kweli ila naweza kulizuia kama ni baya kwa kujisemea kimoyo moyo, "HAKUNA KITU KAMA HICHO". Hii nawaza hata kuitumia upande mwingine huu wa kuona wagonjwa ila bado siamini kama itafanya kazi, hivyo nashindwa kujaribu

Ninachoshukuru Mungu ni kwamba naitumia kwenye harakati zangu za utafutaji na inafanya kazi, maana mimi ni mtu ninayejituma sana (mpambanaji)
 
Shukrani mkuu, ila najivunia kujitambua mimi ni nani, na ninajua kutumia nguvu nilizonazo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom