Dr Justice
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 797
- 848
Nilitaka uone connection ya alichokisema mdau na ule mjadala wa RabbonMkuu kulikoni!!?
Nilitaka uone connection ya alichokisema mdau na ule mjadala wa RabbonMkuu kulikoni!!?
....
..Na hii ya kunuia kwenye jambo lolote ulifanyalo bila dawa yoyote. Ili liende sawa , lina matunda
Aiseh nusu nusu!wale asilimia 60 ya jamaa!!nimekupata!!Nilitaka uone connection ya alichokisema mdau na ule mjadala wa Rabbon
Ninajitambua mkuu, na najua tatizo lilipo hivyo ninajikomboa mwenyewe kwa imani yangu