Midoli ya kike ya kuuzia nguo inatahitajika haraka.

Midoli ya kike ya kuuzia nguo inatahitajika haraka.

Ududu

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
1,020
Reaction score
556
Habarini wakuu?? Nahitaji midoli ya kike mitatu kwa ajili ya duka la nguo.Iwe mizima juu na chini kwa ajili ya Gauni, sketi, jeans au blauzi.

Kwa mwenye nayo anicheki PM tupeane contact..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom