Midege ya kivita ya Marekani inatisha!


Time Bandit

Time Bandit

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2013
Messages
615
Likes
1
Points
33
Time Bandit

Time Bandit

JF-Expert Member
Joined May 22, 2013
615 1 33
Serikali ya Marekani huwa haina utani ktk ishu nzima ya usalama wake na vitega uchumi vyake.Hivyo imewekeza sana katika teknologia za ulinzi na kuvita kupitia makampuni kama Lockheed Martins Boeng na mengine....Zifuatazo ni picha zinazoonyesha Midege ya kivita inayotumia teknolojia ya hali ya juu!

1.B-52 Bomber Stratofotres....

One of the very effective fighter jet.....tani 220...Imefanya kazi tangu 1952....ni veteran ktk vita.

2.F-117 Nighthawk Stealth Fighter

Sura tu ni out of this world.....Moja kati ya sifa zake ni kwamba ni nyeusi kwa rangi na inatumika zaidi usiku na inatumia"Stealth Technology" which means rada wala infrared signature si rahisi ku-ditect kitu hapo....mtashangaa tu mnapokea kichapo.Wenyewew wanaaiita "ground strike aircraft"Which means haihitaji kupaa juu sana kuanza kutoa kichapo.

3.Th B1b Lencer

The fastest Bomber in American Service...na inaweza kusafiri kutoka "base" kwenda bara lingine bila kijaza mafuta(re-fueling)Ina rada absorbing materials kitu kinachoifanya isishambuliwe kirahisi.Inatumia Swing Wing technology....Even Swing Wings the Lancer uses play an important part in the flying of the plane. The forward sweep is used for take off, landing and fuel efficient cruising. But when speed is needed the wings sweep back their by reducing drag and airframe stress.

4.F-22 Raptor


The F-22 Raptor air superiority fighter is almost invisible to radars. This aircraft carries a powerful array of weaponry. It is the most advanced and most expensive production fighter aircraft to date. Many of sensors and avionics of this plane remain classified. Engines of the raptor allow the aircraft to supercruise over long ranges, while thrust-vectoring nozzles, combined with a triplex fly-by-wire flight control system, make it exceptionally maneuverable.

5.F-15
C/D Eagle


 • Maximum speed:
  • High altitude: Mach 2.5+ (1,650+ mph, 2,660+ km/h)
  • Low altitude: Mach 1.2 (900 mph, 1,450 km/h)
 • Combat radius: 1,061 nmi (1,222 mi, 1,967 km) for interdiction mission
 • Ferry range: 3,450 mi (3,000 nmi, 5,550 km) with conformal fuel tanks and three external fuel tanks
 • Service ceiling: 65,000 ft (20,000 m)
 • Rate of climb: >50,000 ft/min (254 m/s)
 • Wing loading: 73.1 lb/ft² (358 kg/m²)
 • Thrust/weight: 1.12 (-220), 1.30 (-229)6
 • .DRONES
 • In the mordern art of War....hii ndo habari ya mujini....Unmanned Aircrafts.
 
mafinyofinyo

mafinyofinyo

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2012
Messages
4,393
Likes
2,826
Points
280
mafinyofinyo

mafinyofinyo

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2012
4,393 2,826 280
Jamaa ni level nyingine kabisa. Wamekeza sana kwenye science and technology
 
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Messages
81,995
Likes
49,144
Points
280
Age
28
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined May 15, 2006
81,995 49,144 280
Naam, Marekani ni taifa kubwa lenye nguvu nyingi sana kupita mataifa yote duniani.
 
MSEZA MKULU

MSEZA MKULU

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2011
Messages
3,737
Likes
4,704
Points
280
MSEZA MKULU

MSEZA MKULU

JF-Expert Member
Joined Jul 22, 2011
3,737 4,704 280
Wako vizuri, hakuna anayewasogelea kitengo cha anga. Ingawa za uso kwa uso walikimbizwa somalia hadi leo. Msituni wavietcong waliwachezesha ngoma hadi walitamani kuchoma msitu nzima kwa moto.

Mkuu uko sahihi, hata ukisikia nchi ya pili kivita inawakalibia kwa mbali sana.
China, urusi tu, wengine wote yeye ndio anawawezesha kivita.
 
sir joshua

sir joshua

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2013
Messages
480
Likes
84
Points
45
Age
35
sir joshua

sir joshua

JF-Expert Member
Joined May 21, 2013
480 84 45
Hivi bongo hatuna hata mojawapo kati ya hizo?
kuna jamaa yangu wa karibu sana ni mwanajesh amenitonya kua bongo zipo drones si chini ya 4 mitambo ya kuendeshea ishafungwa tayar wataalamu washapelekwa kusomea hzo mambo huenda mwishon mwa mwaka huu wakarud,anadokeza kuna heavy weapon za kisasa zimenunuliwa zaid toka china na rusia.,pesa inayotumika hapo hai husian na bajet ya ndan bali ni pesa zinazopatikana toka UN kwa kufanya mision za kijesh kwenye mataifa yenye vurugu,pia vingne ni nkopo.
 
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
104,470
Likes
124,854
Points
280
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
104,470 124,854 280
Pamoja na yote hayo lakini zimeshindwa kwenye maeneo mengi, mfano ni milima ya Tora Bora Afghanstan na zimeshindwa kulinda maslahi ya marekani na kuwalinda wamarekani popote ulimwenguni
 
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
104,470
Likes
124,854
Points
280
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
104,470 124,854 280
Wako vizuri, hakuna anayewasogelea kitengo cha anga. Ingawa za uso kwa uso walikimbizwa somalia hadi leo. Msituni wavietcong waliwachezesha ngoma hadi walitamani kuchoma msitu nzima kwa moto.

Mkuu uko sahihi, hata ukisikia nchi ya pili kivita inawakalibia kwa mbali sana.
China, urusi tu, wengine wote yeye ndio anawawezesha kivita.
hayo madude yote na utaalam wote na tech yote bila uwepo wa binadamu ni useless
 
MJINI CHAI

MJINI CHAI

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2010
Messages
2,005
Likes
745
Points
280
MJINI CHAI

MJINI CHAI

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2010
2,005 745 280
Eti radar haiwezi kuziona hizo ndege..............!!!!unachezea kuzimiwa Satelite Channel wewe.............Analogia oyeeeee.......
 
Agogwe

Agogwe

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2013
Messages
1,078
Likes
48
Points
145
Agogwe

Agogwe

JF-Expert Member
Joined Feb 20, 2013
1,078 48 145
Watu wanichukia marekan bure wako tayar kulinda maslahi yao kwa gharama yoyote ile kwa ajili ya wakat uliopo na ujao. sisi huku watu wanapiga tembo mpaka wanakaribia kuwamaliza tunacheka tu madini yanaibiwa kila siku hatuna uchungu wa kulinda rasilimal na maslahi yetu Siku moja tutalala nje hakuna pa kukimbilia.
 
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Messages
81,995
Likes
49,144
Points
280
Age
28
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined May 15, 2006
81,995 49,144 280
wachina ni washenzi hawajitangazi lakini siku wakiamua kujianika dunia itabaki na taharuki
Wachina bado sana.

Ila kama wakitaka kuijaribu Marekani basi waivamie Taiwan. Si huwa wanadai kuwa Taiwan ni sehemu yao...eeh basi na wajaribu kama ambavyo Iraq ilivyojaribu kuiteka Kuwait.
 
Kishimbe wa Kishimbe

Kishimbe wa Kishimbe

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Messages
2,575
Likes
841
Points
280
Kishimbe wa Kishimbe

Kishimbe wa Kishimbe

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2013
2,575 841 280


INAPENDEZA SANA MACHONI (JAPO KAZI YAKE CHAFU!)
Ninahisi wabunifu wa umbile lake waliigiza umbile la samaki TAA (STING RAY!) kama 'mkwara mbuzi' au 'nahau kwa vitendo!'
 
Crocodiletooth

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Messages
9,642
Likes
3,537
Points
280
Crocodiletooth

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2012
9,642 3,537 280
wajanja sana kwa kutengeneza "housing" za kutisha na kupaka rangi nyeusi na kuweka maelezo ya kutishia mataifa mengine ktk vita inatakiwa speed na invisibility to radar na bombing occuracy mengine maumbo tu
 

Forum statistics

Threads 1,250,638
Members 481,436
Posts 29,740,126