Heshima kwenu waungwana,
kwa mliopo dar wengi wenu mtakua mmeshuhudia ndege tatu za jeshi zikiwa zinarushwa kwa kufuatana kwa kasi sana angani, mimi swali langu ni je gharama zake zina faida au tija kwa taifa? Je mafuta yanayotumika sio kodi ya jasho la watanzania? Hebu tupia maoni yako hapa
mbona timu za mpira zikifanya zoezi amuulizi au kushangaa kwa nini zinafanya,,,?? Ndugu vita is like a game no practice U will always loose let them practice I order to be fit 4 the battle viva jwtz viva air defencesHeshima kwenu waungwana,
kwa mliopo dar wengi wenu mtakua mmeshuhudia ndege tatu za jeshi zikiwa zinarushwa kwa kufuatana kwa kasi sana angani, mimi swali langu ni je gharama zake zina faida au tija kwa taifa? Je mafuta yanayotumika sio kodi ya jasho la watanzania? Hebu tupia maoni yako hapa
Duh watanzania tumezidi kulalamika sasa
Jwtz wakifanya vizuri Congo,Darfur tunawasifia. Unadhani jeshi bila mafunzo/mazoezi wanaweza kushinda vita?