Midadi ikipanda hata nguo nitavua | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Midadi ikipanda hata nguo nitavua

Discussion in 'Jamii Photos' started by Bujibuji, Oct 22, 2012.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Oct 22, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,292
  Likes Received: 22,068
  Trophy Points: 280
  Usidhani ni mwalimu mzuri, hapana, hili ni pozi la KUJAMBA

  [​IMG]
   
 2. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #2
  Oct 22, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Afu ndo aje Njegele aseme madai yetu HAYATEKELEZEKI
   
 3. grafani11

  grafani11 JF-Expert Member

  #3
  Oct 22, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 15,534
  Likes Received: 342
  Trophy Points: 180
  Hata kama kudharau ni jadi yetu watanzania lakini tujifunze tu kuheshimu wale waliotutoa tongotongo mpaka leo hii tunajidai mitaani kwa kujua kusoma na kutumia mitandao.
   
 4. M

  Mundu JF-Expert Member

  #4
  Oct 22, 2012
  Joined: Sep 26, 2008
  Messages: 2,719
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Sasa ndo angekuwa mwalimu mdada, afu awe amevaa sketi fupi...ungeona Jinsi akina Madenge na akina little John wangekimbilia kukaa mbele...

  Full Kula Chabooo
   
 5. nkyalomkonza

  nkyalomkonza JF-Expert Member

  #5
  Oct 22, 2012
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 1,165
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Heshima ni kitu cha bure. Mi nadhani hujamtendea haki. Walimu wa Hivi wamebaki wachache sana. Tunatakiwa kuwapo moyo na sio kuwadhihaki.
   
 6. seniorgeek

  seniorgeek JF-Expert Member

  #6
  Oct 22, 2012
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 500
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Huyo atakua kaongezewa mshahara.
   
 7. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #7
  Oct 22, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,132
  Trophy Points: 280
  darasa binafsi
   
 8. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #8
  Oct 23, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,898
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145

  Baba V Mimi huwa namdharau na kumtoa maana sana mtu anayemdharau mwalimu.Nasema hivyo kwa kuwa nimeifanya kazi hiyo katika shule binafsi na Serikalini kwa kipindi cha miaka sita,na lengo langu nilitaka kujua changamoto zinazowakabili walimu.Na nilichogundua ni kuwa walimu wanadharauliwa kwa sababu ya uadilifu wao na uwezo wao wa kuishi katika mazingira magumu na wengi wao wakiwa na chanzo kimoja tu cha kipato ambacho ni mshahara,tofauti na sehemu nyingine ambapo pamoja na kuzidiwa scale ya mshahara na walimu lakini wana mianya mingi ya Rushwa kwa mfano Polisi ,watendaji wa vijiji na kata.makarani wa mahakama,wahudumu wa masjala,n.k..Kwa maoni yangu binadamu yoyote mwenye akili timamu alitakiwa amuheshimu mwalimu kuliko mtumishi wa kada yoyote kutokana na kujitoa kwake katika kuhudumia jamii...
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. Mkuu rombo

  Mkuu rombo JF-Expert Member

  #9
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 18, 2012
  Messages: 1,559
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Aiseeee babaaangu huyu mwalimu uwalimu upo kwenye damu
   
Loading...