Mida ya wanga

Samahan tena...hivi bro wewe mchawi kweli au inayafaham tu haya mambo lakin hujihusishi?. Usichoke nieleweshe taratibu
 
Hii Dunia,ina mengi ya ajabu.Lakn kwa M/Mungu si lolote si chochote.Kiukwel huwa sitak kumtafakar Mungu
 
Samahan tena...hivi bro wewe mchawi kweli au inayafaham tu haya mambo lakin hujihusishi?. Usichoke nieleweshe taratibu
Usijali, hapana mimi sio mchawi hii ni elimu tu ndugu yangu
 
Usijali, hapana mimi sio mchawi hii ni elimu tu ndugu yangu
Sawa sawa wewe mshana Jr nakumbuka ulinisaidia sana tatizo langu tena kwa uwezo wako woote bureeeeee. Wewe jamaa Mungu akubaliki sana
 
Nasikia mchawi na mbwa awapatani hata kidogo apa sijaelewa au kwa wachawi wa Pwani tuuu
Mwenye Enzi Mungu alipo mweka mwanadamu kwenye bustani, alimwambia awape majina viumbe wote, hapo inamaanisha mwanadamu ana nguvu ya ku control vitu vingi sana lakini kuto jiamini kumewafanya wawe na uwoga mwingi na waoga hawafiki popote katika ulimwengu huu mzuri tuliyopewa na Mwenye Enzi Mungu! Kwa kukujibu swali lako hao kina mama hawana uwoga wa aina yoyote na hawana limit!
 

maana na nguvu ya huyu mnyama ni kubwa mno na inawakilisha alama kuu ya nguvu za Giza na matambiko
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…