Mida ya iftar....!!!!

Mida ya iftar....!!!!

Sasa hii si funga ndugu zangu huku in kubadili mlo tu .mchana kuwa usiku na usiku kua mchana..hpa wanaofunga in wachache sana.
 
Na mi kesho naanza kufunga, kwa misosi hii hapana kwa kweli
 
Mimi pia nafutarisha nyama choma za mbuzi, karibuni sana!......... na nyama yetu ile pendwa-mbuzi katoliki pia ipo![emoji53][emoji53][emoji53]
Behave! Unakuwa kama umelaaniwa,at I unafuturisha mbuzi katoliki,uangamie na moto wa kiama
 
Iftar ni neno la kiarabu, lenye maana ya chakula kinacholiwa baada ya kukamilisha funga/swaumu. Limetoholewa kwa kiswahili kuwa Futari.
Nashkuru mkuu kwa tafsiri hii sanifu
 
Nipe link na mimi ikifika jioni nidownload hayo mapochopocho
 
Waislam nawakubali apo tu kwa kutoa aromantic food.wow
 
mwezi huu vyakula vinaliwa kuliko miezi meingine. ndio mfungo huo.
 
Back
Top Bottom