financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,171
- 40,805
Habari ya weekend!
Nauza microwave ni kama mpya kabisa sababu haijatumika sana bei ni 120,000/= sababu ya kuiuza ni ninazo 2 so hii siitumii, pia ukilipia 140,000 nakupa na viti 2 vya kuzunguka(office chairs).
Karibu inbox kama hela iliyopo imepungua kidogo, naimani hatutashindwana.
Location: Dar es salaam