Acha kujikoroga ww....mara yako mpya mara imetumika wiki tatu.....hata kama ulitumia siku 1 inakua sio mpya tena. Weka bei rafiki watu wanunue kama bei yako ya mpya si upeleke DUKANI.Braza ushasema mtumba,me yangu ni mpya na risiti ya dukani imetumika wiki 3 tuu,then uwe unaangalia na brand!mtumba unatofautiana pia.
Mlimani City (The Game) nimeipata yenye capacity kama hiyo kwa 110,000/=Braza ushasema mtumba,me yangu ni mpya na risiti ya dukani imetumika wiki 3 tuu,then uwe unaangalia na brand!mtumba unatofautiana pia.
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji119] [emoji119]Acha kujikoroga ww....mara yako mpya mara imetumika wiki tatu.....hata kama ulitumia siku 1 inakua sio mpya tena. Weka bei rafiki watu wanunue kama bei yako ya mpya si upeleke DUKANI.
Muuzaji anafikiria watu wa jf ni mbumbu wa kupigwa hovyo hovyo?,jamii ya huku wengi ni LEARNED!!!Mlimani City (The Game) nimeipata yenye capacity kama hiyo kwa 110,000/=
Ukitangaza biashara JF kwanza: usiipambe sana, pili: uwe na moyo, tatu: ukubali matokeo.
Maana ya mtumba unaijua!?Braza ushasema mtumba,me yangu ni mpya na risiti ya dukani imetumika wiki 3 tuu,then uwe unaangalia na brand!mtumba unatofautiana pia.
Ofisi ziko wapi ???Microwave inauzwa bei Chee.TSH.185,000/=
Aina -SHARP
25 Litre Touch Control
900W Microwave Oven
11 Power Levels
6 Auto cook menus
2 Express defrost menus
Auto minute start
Child safety lock
CONTACT: 0712 053 080
.View attachment 423486View attachment 423487View attachment 423488View attachment 423489View attachment 423490[![]()
Mlimani City (The Game) nimeipata yenye capacity kama hiyo kwa 110,000/=