Microsoft Windows 11 yaanza kupokea mifumo ya applications za android

Hai affect end user hii. Ni kwa developers tu. Bado unaweza install apk kma kawaida. Hyo format ya AAB ni kwa developers tu kwaajili ya kupunguza download size ya apps
I know, but kuna ugumu kidogo hasa kwa end user ku extract apk maalum kwa ajili ya simu husika kwa kuwa AAB inafanya hii automatic wakati wa ku-install. Inabidi kujaribu ku-install app zote kutoka kwenye aab ili uweze kupata apk sahihi yenye vitu vyote.
 
Tumia Apkmirror tu au Aurora store. Zinafanya hayo automatically na kutoa APK ya kawaida tu ambayo watu wamezoea.

Kumbuka pia sio kwamba Google wamelazimisha developers kutumia AAB kwa kila kitu. Kma developer anataka kuweka app yake Amazon store bado anaweza tengeneza APK kwenye Android Studio na kuiweka kule. Ndio maana nikasema hakuna effect yoyote kwa end user.
 
Back
Top Bottom