Microsoft wazindua surface 3 tablet ya full windows

Dah, sasa huko si ndo kuja kuamsha tena patent wars na industrial espionage legal cases zilizorindima the last decade!

hapana, kurebrand inamaanisha hp anamlipa huawei.

mfano processor ya hp slate 8 inaitwa kirin ambayo inatumika kwenye vifaa vya huawei tu hivyo asingeweza kuipata
 
Nafuatilia hii thread. Mkuu mkwawa unatusaidia wengi. Nimegundua nahitaji windows tablet ili nisinunue laptop.
Bajeti yangu 700,000/= or less zaidi ya hapo. Naomba kwa utaalamu wako nishauri ipi nichuke tablet ya windows yenye sifa zifuatazo
-Inaingia line(3g) & wifi
-7,8 to 10 inch.
-2gb ram

Pls nishauri kidogo mgeni.
 
kaka ngoja kwanza hapa tuekane sawa

suala la 3g
intel yeye ndio anatengeneza processor za hizi tablets na processor zake hadi mwaka jana zilikuwa hazina 3g hivyo ili manufacture (dell, hp, lenovo) waeke 3g ilibidi wainunue hio technologia separate. hali hii ikasababisha tablets za windows zenye 3g kuwa bei ghali sana, tablet moja yenye 3g na isio na 3g tofauti ya bei inaweza fika hadi dola 200.

lakini ukumbuke unaweza kutumia modem kwenye hizi tablets.

ila mwaka huu intel ametoa processor mpya za cherry trail ambazo zina modem (3g/4g) na product ya kwanza ndio hii surface nyengine zitafuatia muda si mrefu hivyo hapa unakuwa na option 3.

1.kusubiria tablet mpya zitoke (utasubiri sana maybe hadi miezi 6)
2. kununua tablet mpya isio na 3g
3.kununua tablet mpya yenye 3g lakini haitakua nzuri kama isio na 3g.

tablet/ 2 in 1 zisizokuwa na 3g

1. asus t100
51IQssLZdxL._AA160_.jpg

tablet nyingi zinakuja na 32gb au 64gb asus wenyewe wakaamua kuitengenezea keyboard tablet yao na kueka hdd ya gb 500 kwenye hio keyboard pamoja na usb port ili ukiichomeka tablet kwenye keyboard iweze kuwa kama full laptop

2. acer aspire switch
yenyewe ni kama hio asus sema haina hizo 500gb za kwenye keyboard

tablet zenye 3g
1.dell venue 8 pro (version ya uingereza)
dell walitoa toleo la 3g kwa ajili ya uingereza tu hivyo kama unaitaka utabidi umuagizie mtu toka uingereza.
41Uq9qCAOsL.jpg

naiona amazon ya uingereza hapa kwa bei kama 600,000 ya tanzania.

2.thinkpad tablet 2

kama still unataka tablet ya 3g na huhitaji kusubiri ni vizuri ukachukua hio dell venue 8 pro ila make sure.

1.unatafuta keyboard/mouse ya bluetooth maana ina port 1 tu na hio hio ndio unachajia
2. monitor ya nje incase utataka kutumia kwenye kioo kikubwa na kuifanya tablet kama desktop
 
Thanks for sharing i will check it out, in the mean time my Ipad air 2 ina kila ninachohitaji kwa sasa. Tofauti kubwa inakuja katika namna ya kutumia. Unaweka apps gani na unaitumia kwa shughuli zipi.
 
kaka ngoja kwanza hapa tuekane sawa

suala la 3g
intel yeye ndio anatengeneza processor za hizi tablets na processor zake hadi mwaka jana zilikuwa hazina 3g hivyo ili manufacture (dell, hp, lenovo) waeke 3g ilibidi wainunue hio technologia separate. hali hii ikasababisha tablets za windows zenye 3g kuwa bei ghali sana, tablet moja yenye 3g na isio na 3g tofauti ya bei inaweza fika hadi dola 200.

lakini ukumbuke unaweza kutumia modem kwenye hizi tablets.

ila mwaka huu intel ametoa processor mpya za cherry trail ambazo zina modem (3g/4g) na product ya kwanza ndio hii surface nyengine zitafuatia muda si mrefu hivyo hapa unakuwa na option 3.

1.kusubiria tablet mpya zitoke (utasubiri sana maybe hadi miezi 6)
2. kununua tablet mpya isio na 3g
3.kununua tablet mpya yenye 3g lakini haitakua nzuri kama isio na 3g.

tablet/ 2 in 1 zisizokuwa na 3g

1. asus t100
51IQssLZdxL._AA160_.jpg

tablet nyingi zinakuja na 32gb au 64gb asus wenyewe wakaamua kuitengenezea keyboard tablet yao na kueka hdd ya gb 500 kwenye hio keyboard pamoja na usb port ili ukiichomeka tablet kwenye keyboard iweze kuwa kama full laptop

2. acer aspire switch
yenyewe ni kama hio asus sema haina hizo 500gb za kwenye keyboard

tablet zenye 3g
1.dell venue 8 pro (version ya uingereza)
dell walitoa toleo la 3g kwa ajili ya uingereza tu hivyo kama unaitaka utabidi umuagizie mtu toka uingereza.
41Uq9qCAOsL.jpg

naiona amazon ya uingereza hapa kwa bei kama 600,000 ya tanzania.

2.thinkpad tablet 2

kama still unataka tablet ya 3g na huhitaji kusubiri ni vizuri ukachukua hio dell venue 8 pro ila make sure.

1.unatafuta keyboard/mouse ya bluetooth maana ina port 1 tu na hio hio ndio unachajia
2. monitor ya nje incase utataka kutumia kwenye kioo kikubwa na kuifanya tablet kama desktop

Nashukuru sana kwa maelekezo ya kina ndugu mkwawa. Nipe opinion yako kuusu nokia lumia 2520. Ile isiyo na 3g na yenye 4g international version.
 
Back
Top Bottom