Microsoft wazindua surface 3 tablet ya full windows

Microsoft wazindua surface 3 tablet ya full windows

Dreson4 kweli mkuu nakubaliana na wewe, maana processor ni ile ile ya intel na nafkiri baytrail hazipo kwa mfumo wa socket huwenda ikawa hata motherboard zikawa sawa. hii surface still ni premium kwa ajili ya wafanyabiashara zipo alternative za bei rahisi.

kuna asus vivotab 8 around dola 150 ina kioo hd, 2gb ram na 32gb. lenovo pia wanayo ya aina hii kwa dola 150 pia.

hp anayo ya dola 99 sema ina ram 1gb. ila hii ya hp inaingia line.

kuna za kichina ila zinauzwa store za microsoft kwa dola 60 tu.

nachopenda hizi cherry trail zinakubali ram za 8gb na gpu yake ina 16EU hivyo atleast unaweza ukapata katablet kaukweli ukacheza hata pes 2015.
 
Last edited by a moderator:
sasa mkuu katika hiyo surface pale upande wa usb unaweza kutumia modem?
Je ina suport sim card??
 
Mimi nilijua ni kama pc kabisa. Unainstall programs kama computer za kawaida.

ni kama full pc kila kitu una install photoshop, vlc nk. hapo nilikua namjibu jamaa kuhusu surface rt ambayo ilikua inatumia windows rt.

surface 1 na 2--- app za simu na tablet
surface 3--------- app za pc
surface pro 1,2,3--app za pc
 
sasa mkuu katika hiyo surface pale upande wa usb unaweza kutumia modem?
Je ina suport sim card??

hio ya dola 599 inasuport line sababu ina lte, tablet yoyote ya windows unaweka modem bila tatizo.

hii surface ina port 2 za usb moja unatumia kuchaji na nyengine unaweza chomeka modem, external hdd, au kifaa chochote cha usb. zinauwezo hata wa kuflash simu, inshort zinafanya kila kitu kama laptop na desktop

pia kuna dock zake kama utataka kuitumia kama desktop unaichomeka
surface-dock.png

mfano una modem, mouse, keyboard, monitor ya nje nk ukiwa na hio dock unavichomeka vyote kwa pamoja.


ila si tablet zote zipo hivyo, hizi za bei rahisi zina port 1 tu, ukiwa unachaji huwezi chomeka kitu hadi umalize kuchaji unless uwe na ile multi usb
 
Hii ya Lenovo ina sehemu ya kuchajia na usb port moja. Ina sehemu ya docking, una install apps zozote za pc, na inafanya kazi kama pc. Nimejaribu wireless mouse inafanya kazi
 
ni kama full pc kila kitu una install photoshop, vlc nk. hapo nilikua namjibu jamaa kuhusu surface rt ambayo ilikua inatumia windows rt.

surface 1 na 2--- app za simu na tablet
surface 3--------- app za pc
surface pro 1,2,3--app za pc

Basi ipo safi hii. Ngoja tuone ipad watakuja vipi na mac osx
 
Ki'specs wapo vizuri sana, ila siku ikifika wakiweza kupunguza bezels kwa hizi devices na kuongeza screen-to-body ratio (screen real estate) asee nadhani zitavutia sana. Dell Venue nimesahau ni series gani ya mwaka huu (sijui ni 7000 or, tutakumbushana hapa na kurekebishana) naona imekuja karibu na nnachokizungumzia. To the extent kwamba, one reveiwer wa C-Net alisema "it's something that really gives Apple's iPad Mini a run for its money". No ushindani hapa, ni katika kuonesha kuwa, pole pole big bezels sio deal tena.
 
Ni Dell Venue 7840

asus wametoa chi series zina bezel nyembamba za pemben. halafu hizi cherry trail zinaingia hadi kwenye simu hivyo tablet zake zitakua na maumbo sawa na tablet za android na ipads.

P_setting_fff_1_90_end_500.png


then unapewa na keyboard ya bure
 
Sasa huo ndo mpango nliokuwa nauongelea!!! Hizi Asus Chi series ni detachable kama zile Transformers?
 
Naamini huko siku za mbeleni kutakuwa na devices (ranging from smartphones to phablets and tablets) zenye bezels nyembamba kinyama. Kwa upande wa smartphones naona LG G Series ka G2 na G3 wamejitahidi angalau. Kiasi kwamba the whole device inaonekana kama ni screen tu
 
Sasa huo ndo mpango nliokuwa nauongelea!!! Hizi Asus Chi series ni detachable kama zile Transformers?

yap detachable ila hii t90 ni bluetooth keyboard tu japo inagandana na tablet
 
Dah safi sana asee!. Na HP unawa'rate vipi kwenye game ya tablets mkuu Chief-Mkwawa
 
Last edited by a moderator:
Dah safi sana asee!. Na HP unawa'rate vipi kwenye game ya tablets mkuu Chief-Mkwawa

hp?? sijui kwa windows tab zao zipoje maana zimetoka juzi juzi ila android wamechemka sana hasa ilipogundulika wanabrand bidhaa za huawei, yaani tablet ile ile ya huawei (mediapad) wanaibadili jina na kuiita hp

HP's new Slate 7 VoiceTab Ultra and Slate 8 Plus seem to be rebranded Huawei tablets
HP's new tablets ? rebranded Huawei models?

jamaa wanahitaji ceo mwenye vision la sivyo wanaenda pabaya
 
Last edited by a moderator:
Naamini huko siku za mbeleni kutakuwa na devices (ranging from smartphones to phablets and tablets) zenye bezels nyembamba kinyama. Kwa upande wa smartphones naona LG G Series ka G2 na G3 wamejitahidi angalau. Kiasi kwamba the whole device inaonekana kama ni screen tu

kuhusu bezel ipo sharp aquos crystal ina bezel moja tu kubwa
skew.png
 
Dah, sasa huko si ndo kuja kuamsha tena patent wars na industrial espionage legal cases zilizorindima the last decade!
 
Back
Top Bottom