Microsoft Office yangu (2007) haifanyi kazi

Microsoft Office yangu (2007) haifanyi kazi

Peleka kwa fundi mkuu, ndo maana kuna watu tuliingia class kusomea hii kitu, unataka tukale wapi?
 
Inategemeana na computer mkuu sio kila software unawezaweka kwenye kila pc na kila os
 
Jaribu kutumia hiyo kama password blog nyng zinatumia majina ya blog zao kama password ya files zao.
Ulitakiwa uwe umedownload na kutest kabla ya kuwapa link watu Wengine nao wadownload.
Ona sasa umewaingiza chaka wenzio wamefyekwa zaidi ya 600Mbs.
 
Ulitakiwa uwe umedownload na kutest kabla ya kuwapa link watu Wengine nao wadownload.
Ona sasa umewaingiza chaka wenzio wamefyekwa zaidi ya 600Mbs.
Am not the one who gave him the link, namsaidia tu baada ya yy kupewa link mbovu.
 
Angalia vizuri mkuu password iko humu humu baada ya kufungua winrar usi extract kwanza angalia password humo kwenye files au pembeni utaona imeandikwa kama hutoona andika. techfeone.net.
 
Back
Top Bottom