Wernery G Kapinga
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 381
- 131
Naombeni msaada wataalamu.
Microsoft office yangu ya 2007 haifanyi kazi Mara baada ya wiki moja tangu nidownload.
Ilikuwa inaniomba Key sasa mi sizijui napata wapi yaani. So nina vitu vingi vya kufanya lakni inanitia ushamba hapo. Nisaidien Tafadhali