mbona imeandikwa on sunday november 16 most features of word will be disabled? ambayo ni jana hio
- Sababu haina activation. Hivyo jamaa alikuwa tayari kamaliza siku a kutumia kama trial
Mkuu bado ina work na mm nichome bundle langu kupata mzigo au inazingua? Na vp haiombi serial numberz on installation?
sababu imeleak inamaana hata activation huwez fanya
uwa ninajiuliza ni nani uwa anavujisha hizi softwares na os za microsoft kabla ya muda wanaotaka zienede public?
Ina maana wafanyakazi wao hawako royal kwa kampuni na ni kwanini hawachukuliwi hatua?