brave_3
JF-Expert Member
- Jun 9, 2014
- 1,186
- 708
mkuu mimi nili order kupitia JUMIA kwa shilingi 192000/- na shipping cost sh 10,000/.
MKUU tuelekeze jinsi ulivyo ipata hiyo simu .kwa mimi huwa naogopa kutumia mitandao. tupe njia za kufuata
mkuu mimi nili order kupitia JUMIA kwa shilingi 192000/- na shipping cost sh 10,000/.
means ya payment ipoje kwa hao jamaa?
payment by tigo pesa au payment on delivery
Nimechukua kwa 250000, ukitaka kuipata kwa urahisi nenda kwenye maduka ya midcom.
mkuu mimi nili order kupitia JUMIA kwa shilingi 192000/- na shipping cost sh 10,000/.
MKUU tuelekeze jinsi ulivyo ipata hiyo simu .kwa mimi huwa naogopa kutumia mitandao. tupe njia za kufuata
Mkuu ukiingia kwenye website ya hawa jamaa www.jumia.co.tz unachagua kitu unachokitaka, then una place order, wao watakupigia ku confirm order yako. then wataanza ku process order. wakati huo wewe unaweza kuingia kwenye account yako na kuendelea ku track order yako. Kizuri kwa hawa jamaa unaweza kulipa pale unapopokea kifaa chako (Cash on Delivery) wameniletea ofisini kabisa.
-lumia 640- 1gb ram
-lumia 535- 1gb ram
-lumia 532 - 1gb ram
-lumia 430 - 1gb ram
hio 430 ina ram 1gb na bei ya dola 70 tu kabla ya kodi.
nyingi zimetoka mwaka jana mwishoni hadi mwaka huu mwanzoni
Chief kuna kitu kinanizingua pale ninapotaka kufanya muamala kwenye mitandao yetu, kuna ujumbe una sema something wrong we can not process your request, hilo limekuwa linanisumbua sana hadi mda mwingine natoa line, sasa sijui ni setting ipi niifanye ili isinisumbue.
Tatizo sio network, tatizo lipo kwa sim ussd inaonekana kuna tatizo, japo kuwa muda mwingine inakubali, operation yeyote yenye ussd series za ussd ni tatizo.