Asante sana kiongozi nimefanikiwa, hii version ya vietnam unaizungumziaje? nzuri au mbaya, nimekuwa nikitumia version za hungary na finland
nenda setting halafu access point ingia angalia hamna setting? unaweza add zako click kialama cha jumlisha halafu connection name andika chochote na apn andika internet then save halafu ibonyeze hio setting uliotengeneza kwa nguvu then iactivate. utaona kwa chini setting yako imeandikwa active
Mkuu chief kwa nini simu nyngi za Lumia zina RAM ndogo ukilinganisha na simu nyingine?
zitakuwa za zamani, simu mpya za lumia zote zina ram 1gb kupanda hadi za dola 70 zina ram 1gb
Kama zipi mkuu na hizo mpya zimetoka kuanzia mwaka gani?
nenda setting halafu access point ingia angalia hamna setting? unaweza add zako click kialama cha jumlisha halafu connection name andika chochote na apn andika internet then save halafu ibonyeze hio setting uliotengeneza kwa nguvu then iactivate. utaona kwa chini setting yako imeandikwa active
Chief nahitaji kununua lumia yoyote je maweza kupata kwa bei ya laki moja na nusu
Second hand Lumia 520, 620 unaweza pata ukitafuta vizuri au hio Lumia 435 ikiingia sokoni hizo ndo zitakua bei zake
zipo kiongozi nimeziona kariakoo, zimezinduliwa march 2015, pitia google uone specification zake. bei yake wanaanzia 250000.
mkuu mimi nili order kupitia JUMIA kwa shilingi 192000/- na shipping cost sh 10,000/.
JUMIA ipo wapi na wanajihusisha na nn mkuu?
Habari wadau, nimenunua lumia 532 made in vietnam, lakini inanizingua kuunganisha internet, naomba msaada kwa anayejua setting za kuunganisha internet. Nawasilisha.
mkuu mimi nili order kupitia JUMIA kwa shilingi 192000/- na shipping cost sh 10,000/.