Fact hapo ni mtu before hajawa developer alikuwa anatumia OS gani, na alikuwa keen vipi na coding,
Watu wengi wenye ndoto zakuwa developers wanatumia windows,- mfano mdogo tu huu
Sasa mtu kama alishazoea windows kuja kuadopt Linux huwa inachukua muda sana, kama ilivyo kwa Devs wengi, ndio maana wengi utaona wana dual boot Os, au kama wengine wanavyofanya kutumia VMware na Windows ikiwa kama ni primary OS,
Reason ni hawajazoea Linux na hii imechangiwa na Linux kuwapa wengi shida kutokana na command zake, wachache utaona wameswitch Ubuntu.
Hapo ni lazima tukubaliane tu, Devs wengi wanatumia OS nyingine tofauti na Linux. Hata tukichukulia tu mfano hapa Tz