"Microchip" katika New World Order, eti inakuja?!

Acheni mawazo finyu...micro chip ni kitu cha kukipigania kiwai kufika na sio kukipinga kwa hoja nyepesi nyepesi....dunia ina advance sasa kwasasa...tuna achana na maswala ya kuzunguka na makabrasha maform ya benk...vyeti nk..so micro chip ni device itakayo incorporate personal details katika electronic device includin bank info...certificates nk..connectivity ya hii kitu na maswala ya ushetani sijaiona bado
 
Hakuna anaekataa kuwa dunia haiadvance lakini unajua nini kilichopo nyuma ya pazia, je unajua hiyo microchip itaoperate vipi na umejaribu kusoma biblia kujua chapa ya 666 itakuwa ni ya namna gani? Ila siwezi kukulaumu kwa sababu Yesu alisema 'watakuwa na macho ila hawataona, watakuwa na masikio ila hawatasikia'. Nashut down
 
Umeenda kukata bima ya afya. Menye bima anaingiza chip yako kwenye mtambo wake - anagundua unavuta sigara 7 kwa siku, kwa sababu ulitumia kuredit card kununua, chakula unachokula ni kibovu, mazoezi hamna. Urefu wa maisha yako unakadiriwa kwamba ni mwaka mmoja! Unaambiwa samahani mama, sogea dirisha la tano, maana ulipo hapa ni kwa uhai wa daraja la kwanza.
 
Katika mtizamo mwingine! tunajua kabisa hulka ya binadamu kutumia taarifa kwa manufaa yake! Hao watakaopewa dhamana ya kuweka taarifa za binadamu wenzao! we unaishi maisha yako miaka yote! lakini mtu anakujua kwa sekunde!
 
Tunapoengelea microchip usifikirie uhalisia wake katika maisha yetu ya sasa. Fikiria jamii inayoendeshwa kwa machine! itakuwa efficient eeh?
 
Back
Top Bottom