Micro business consultant anapatikana.

CBSJ

New Member
Jun 5, 2012
1
0
Wana JF mimi ni kijana niliyejiajiri nina elimu ya Tax management and Accounting pia nina uzoefu wa micro business assessment and analysis kwa zaidi ya mwaka na nusu nikiwa kama afisa mikopo na uzoefu wa Marketing kwa zaidi ya miaka miwili.Nakaribisha wote wanaohitaji kuandaliwa business plans kwa ajili ya kuomba mikopo benki,wanaohitaji msaada katika masuala ya ukadiriaji na ulipji kodi ya mapato na VAT TRA,uandaaji wa hesabu za biashara na ushauri kwa wanaotaka kuanza biashara.Mawasiliano yangu ni 0687281111 au 0753281111 nitakufuata popote ulipo ndani ya Dar Es salaam.Karibuni sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom