Michuzi awa Designer?!!

Bollo Yang

JF-Expert Member
Aug 10, 2009
440
50
Kwa pamba kali tafadhali wasiliana na Bwana Michuzi utapata vitu quality kama inavoonekana kwenye picha.....


 

Attachments

  • DSC01157.jpg
    34.3 KB · Views: 175
  • DSC01177.jpg
    26.4 KB · Views: 146
Acha kutuchanganya, hapa alikuwa ni sponsor kwenye hiyo show, kuwa designer ni kuandika lebo ya biashara kwenye T-Shirt. Basi kila aliyefiwa na kufyatua t-shirt ni designer. Duh bongo ma-designer kibaao.
 
watu huanza mbali, kama michuzi ameanza na clothing line ya fulana, achaneni nae... atakua, kesho atawaonyesha nguo design nyingine na ghafla itakuwa michuzi blog and fashion designs ltd na hata anaweza kuingia ubia na hassanali
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…