Michuzi awa Designer?!!


Bollo Yang

Bollo Yang

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2009
Messages
440
Likes
7
Points
35
Bollo Yang

Bollo Yang

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2009
440 7 35
Kwa pamba kali tafadhali wasiliana na Bwana Michuzi utapata vitu quality kama inavoonekana kwenye picha.....


 

Attachments:

Nsiande

Nsiande

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2009
Messages
1,649
Likes
19
Points
135
Nsiande

Nsiande

JF-Expert Member
Joined Jul 27, 2009
1,649 19 135
whats wrong with that ?
 
Mkaa Mweupe

Mkaa Mweupe

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2007
Messages
655
Likes
27
Points
35
Mkaa Mweupe

Mkaa Mweupe

JF-Expert Member
Joined Jun 29, 2007
655 27 35
Acha kutuchanganya, hapa alikuwa ni sponsor kwenye hiyo show, kuwa designer ni kuandika lebo ya biashara kwenye T-Shirt. Basi kila aliyefiwa na kufyatua t-shirt ni designer. Duh bongo ma-designer kibaao.
 
FirstLady1

FirstLady1

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2009
Messages
16,727
Likes
801
Points
280
FirstLady1

FirstLady1

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2009
16,727 801 280
hizo T-shirt ndo pamba kali???
 
Amoeba

Amoeba

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2009
Messages
3,328
Likes
125
Points
0
Amoeba

Amoeba

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2009
3,328 125 0
Kwa pamba kali tafadhali wasiliana na Bwana Michuzi utapata vitu quality kama inavoonekana kwenye picha.....


wewe na michuzi mnauza hayo mabango?!!!.....................kweli maisha ubish
 
Bigirita

Bigirita

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2007
Messages
15,282
Likes
2,030
Points
280
Bigirita

Bigirita

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2007
15,282 2,030 280
tehe tehe teheee!!
cloth line??? fulana?
 
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Messages
42,577
Likes
38,988
Points
280
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2009
42,577 38,988 280
Hata mtaani kwetu wanaoprinti ti sheti wako kibao
 
Z

Zion Daughter

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2009
Messages
8,937
Likes
70
Points
145
Z

Zion Daughter

JF-Expert Member
Joined Jul 9, 2009
8,937 70 145
wewe na michuzi mnauza hayo mabango?!!!.....................kweli maisha ubish
Inawezekana yeye Bollo yang ndio michuzi.Who knows?
 
Soulbrother

Soulbrother

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2009
Messages
408
Likes
4
Points
35
Soulbrother

Soulbrother

JF-Expert Member
Joined Apr 14, 2009
408 4 35
watu huanza mbali, kama michuzi ameanza na clothing line ya fulana, achaneni nae... atakua, kesho atawaonyesha nguo design nyingine na ghafla itakuwa michuzi blog and fashion designs ltd na hata anaweza kuingia ubia na hassanali :) :)
 

Forum statistics

Threads 1,250,505
Members 481,371
Posts 29,736,013