Siuseme tu niwewe? hatutakuulizasanaHabari zenu wakuu.
Naomba ushauri kwa niaba ya rafiki yangu ambaye ameoa mwaka wa 10 sasa. mke wake ana tatizo sugu la kuchubuka ukeni wakati wa kugegedana. jamaa anajitahidi kumuandaa lakini inakuwa ngumu sana mke kulainika. Hata akipiga kabao kamoja cha dakika 2 tayari mwanamke keshaanza kuumia. mwaka huu walienda hosptl ya rufaa/misheni hapa ifakara kumwona mtaalam wa akinamama. Wakahojiwa na kuchunguzwa vizuri ikaonekana mke hana tatizo lolote la kiafya. Docta aliwapa ushauri pamoja na kuwaambia watumie mafuta ya KY. Tatizo bado lipo palepale. Kwa mda sasa jamaa yangu anaishia kupiga kabao kamoja tuu.. hakuna kurudia wala nini. Sasa ndoa inaelekea pabaya maana jamaa anapanga kutafuta mchepuko wa kudumu ili akapunguzie huko. Kaja kuniomba ushauri nami sina cha kusema nikaona niingie humu naweza pata mawili matatu.
Anavyodai yeye pamoja na kuwa wameshazaa watoto 3, uke wa mke wake uko taiti mno. Hata akiingiza kidole kinaingia kwa shida. Sasa anahisi inawezekana labda kuna uvimbe kwa ndani. Na jamaa yangu maumbile yake ni ya kawaida kabisa, hivyo anadhani mwanamke atakuwa na tatizo sugu ambalo bado hajalitambua.
naombeni ushauri wakuu tumsaide huyu ndugu.
Hahahahaaa.. acha ukorofi wewe. toa mawazo chanya ili umsaidie mwanamke mwenzako.Siuseme tu niwewe? hatutakuulizasana
Sio mimi mkuu ila ni rafiki yangu sana. Na huwa tunashikikishana mambo mengi tu. Tatizo limekuwa tete aisee jamaa anashindwa kuvumilia, so akawa amenieleza kwa undani kiasi hicho.Huyo ni jamaa yako au ni wewe mwenyewe maana ulivyoelezea kwa undani sidhani kama rafiki yako anaweza kumvua nguo hivyo mke wake...!!
POLE SANA NA MATATIZO....!
Tutalijadili hili tuone litawezaje kusaidia. shukran mkuu.Aende Kule BUKOBA Akatafute Ushauri Kwa Wenyeji Wa Bukoba Kwani Nasikia Kina Mama Wa Kule Wako Powa Kweli Kwa Ulaini Wakati Wa Kugegedana Nao, Coz PANOCHA Zao Zinakuwa na Maji Kiasi hivi Kwa Ajili ya Kujilainisha.
Hii Nasikia inasababishwa Na NDIZI flani Hivi Ambazo Zinapatikana BUKOBA Wanazokula Pamoja na NYANYA CHUNGU
Sasa Nahisi Ukikutana na Hawa Wadada Wa Bukoba (Kabila Lao Silijui) Nahisi Atamaliza Tatizo la Michubuko.
Sawa mkuu. wazo lako litafanyiwa kaziJaribu kupiga ivo ivo had ujue muafaka weke piga tuu akikuambia inauma usitake kujua endelea tuu
1.Ajisafi vyema nywele za huko kisha kabla ya jambo lenyewe hakikisha maandalizi ya kutosha ili kuwa na utelezi mwingiHabari zenu wakuu.
Naomba ushauri kwa niaba ya rafiki yangu ambaye ameoa mwaka wa 10 sasa. mke wake ana tatizo sugu la kuchubuka ukeni wakati wa kugegedana jamaa anajitahidi kumuandaa lakini inakuwa ngumu sana mke kulainika.
Hata akipiga kabao kamoja cha dakika 2 tayari mwanamke keshaanza kuumia mwaka huu walienda hosptl ya rufaa/misheni hapa ifakara kumwona mtaalam wa akinamama wakahojiwa na kuchunguzwa vizuri ikaonekana mke hana tatizo lolote la kiafya. Docta aliwapa ushauri pamoja na kuwaambia watumie mafuta ya KY.
Tatizo bado lipo palepale Kwa mda sasa jamaa yangu anaishia kupiga kabao kamoja tuu hakuna kurudia wala nini. Sasa ndoa inaelekea pabaya maana jamaa anapanga kutafuta mchepuko wa kudumu ili akapunguzie huko Kaja kuniomba ushauri nami sina cha kusema nikaona niingie humu naweza pata mawili matatu.
Anavyodai yeye pamoja na kuwa wameshazaa watoto 3, uke wa mke wake uko taiti mno. Hata akiingiza kidole kinaingia kwa shida. Sasa anahisi inawezekana labda kuna uvimbe kwa ndani. Na jamaa yangu maumbile yake ni ya kawaida kabisa, hivyo anadhani mwanamke atakuwa na tatizo sugu ambalo bado hajalitambua.
naombeni ushauri wakuu tumsaide huyu ndugu.
Ohoooo.. thatha hapo mbona pabayaMiaka kumi mkuu Leo ndo limekua sugu? Karibu kuangalia Mke ana mawazo gani,anaweza akawa na mawazo mengi juu yako na akashindwa kua na hamu na tendon la ndoa na wewe ila akipata wa nje atamgegeda fresh