Michuano ya Jumuia ya Madola, Glasgow 2014

Michuano ya Jumuia ya Madola, Glasgow 2014

Kila kitu Tz chawezekana. Bayi kapeleka mchanganuo wake namna ya kupata kibali cha kulamba fweza ya kodi kiulainiii na kiuhalaliii.
Akapeleka watu pale uwanja wa Taifa akaseti time kwa kusogeza saa akawapelekea wizara ile nyeti ya Ilim yenye viwango vya Div.5 na marekebishio ya usahihishaji kwenye paper za Form VI.
Wakampeleka ughaibuni. Sijui kama mabegi yao yalichekiwa pale JNA. Mwakani napeleka mchanganuo wa wanywaji uji wa moto kwa haraka.
 
Heee!!
Mbaya sana !!
Filbet Bayi hataki mtu wa kuvunja record yake.Hii kazi ya kupata vipaji irudishwe kwenye shule za Msingi za Ukanda wa Kaskazini hasa mkoa wa Arusha na Manyara.
Mpira wa miguu uachiwe Morogoro ,Kanda ya ziwa na Kigoma.Waibue vipaji kama ilivyo BSS na TMT.
 
tumuulize vizuri
 
filbert bayi naye hataki kabisa kuachiaaa t.o.c naskiaa ofisi iko nyumbani kwake maamuzi wanapanga yeye na mke wake na watoto zao....kuhusu olimpik tz
 
"Commonwealth Games = Ukoloni Mamboleo" Viva Kamanda Mugabe kwa ku-bull s*it huo ujinga!
 
Heee!!
Mbaya sana !!
Filbet Bayi hataki mtu wa kuvunja record yake.Hii kazi ya kupata vipaji irudishwe kwenye shule za Msingi za Ukanda wa Kaskazini hasa mkoa wa Arusha na Manyara.
Mpira wa miguu uachiwe Morogoro ,Kanda ya ziwa na Kigoma.Waibue vipaji kama ilivyo BSS na TMT.

... Kuna muandishi wa makala simkumbuki alipata kuandika kuwa tz haitakaa ipate medali za olimpiki kamwe kwa sababu viongozi wa riadha walio madarakani wanataka wao ndio wawe wa kwanza na wa mwisho kutwaa medali ya olimpiki. Naanza kuhisi kuwa maneno haya ni kweli!
 
Filbert bayi atueleze hela anayopewa na IAAF kuendeleza vipaji anapeleka wapi?
kwanin kila mahali Ni siasa?
Tuna wataalamu wengi Tu hawapewi nafasi
 
Ni mwendo wa wanamichezo wetu kuendeleza utalii tu...
 
Watu wengine mnaongea tu. Mbona rais wetu anachukua tuzo kila kukicha. Juzi kati kawa kiongozi bora Africa. wiki hii mbichi kachukua tena bonge ya ushindi. kuna ile aliyosaidiwa kuchukua na Membe.
Sisi dhahabu tunayo ya. kumwaga mpaka Yona akaona atie saini mikataba akiwa ndani ya casino London huku anapata mvinyo na mapaja lainii yako mbele yake. Wazungu wachukue zahabu free ama yao.
Kwanza sisi tunaumaskini gani ? leo hii mbichi Kiongoz wetu muadilifu Enjini Chiza amegawa tani 500 na ushee za mahindi Sudan ya kusini. na Amewataka wa Tz wakawekeze huko hapa tuwaachie wachina na wahindi.
 
Ukipanda manyasi usitegemee kuvuna mpunga, tumekuwa wa mwisho katika mashindano hayo katika Afrika tumefungana na Malawi, Seychelles, Lesotho, Rwanda, Sierra Leone na Swaziland kwa kushika nafasi ya 38. Kichwa cha mwendawzimu at its best.
 
Wafanye Big result now.

Yaa wazo zuri. au tufanye mashindano wenyewe kama mtihani wa form six halafu kila mwanariadha apate gold au silver. tujiwekee viwango vyetu. kama vile 100 mts ukotumia nusu dkk unapata gold. Aisee tutakuwa na gold asilimia 95. Halafu hizo gold medo tusitumie gold yetu. tukanunue gold China au India.
 
Back
Top Bottom