Michuano ya Jumuia ya Madola, Glasgow 2014

Michuano ya Jumuia ya Madola, Glasgow 2014

filbert bayi na mke wake.....leo na sisi ws jf tuwape shindano wafanye usiku huu ...shindano lenyewe ni la kupigishana ny..t... mshindi tumpe gold medal
 
Jamani inatia huruma; hii nchi ya BRN sijui ni nini kitaikwamua. Mambo ni legelege kila kona
 
1500 METRES Final sasa kuna Mtanzania anakimbia labda tutapata medal

Fingers Crossed
 
Yaa wazo zuri. au tufanye mashindano wenyewe kama mtihani wa form six halafu kila mwanariadha apate gold au silver. tujiwekee viwango vyetu. kama vile 100 mts ukotumia nusu dkk unapata gold. Aisee tutakuwa na gold asilimia 95. Halafu hizo gold medo tusitumie gold yetu. tukanunue gold China au India.

Ndio mkuu,Gold yetu twaachie tu Barrick.
 
Mashindano ya uchawi na Kuwanga ndio watashinda na chuki za maendeleo.
 
Toka niko shule ya msingi mpaka leo niko chuo kikuu viongozi wale wale, yasin abdalla ustadh, bay na nyambui sijui mnategemea nini watanzania,
 
Tumeshangilia hajatokea wa mwisho!

Unajua nini katika wanariadha wote wa Tanzania niliowaona kwenye mshindano haya huyu ndio kanifurahisha

Huyu alikuwa anashindana, sio hao wengine hata sijui kwanini walikwenda

Huyu alikuwa analeta upinzani kwaanaoshindana nao, WaTZ wengine walikuwa hawako kwenye mbio moja na wanaoshindana nao.

Huyu kwa umri wake akiendelezwa vizuri anaweza kuja kutupa heshima.

Ila kwa maandalizi yetu yalivyo huyu hutakuja kumsikia tena.
 
Mie nilimuona Boxer Sema alionewa ni kweli Huyu wampe maandalizi mazuri na wawe wanampeleka sana Kenya mtizame Mo Farah alikuwa anapelekwa sana Kenya Sema Huyu watasema kafanya vibaya watamvunja moyo wakirudi hapewi mafunzo wala hawatomshughulikia mpaka karibu na mashindano.
 
Serengeti boys imepigwa nne,

Kesho starz ile yenye wachezaji waliojaza moshi kifuani Na viduku kichwani inatolewa na Mozambique

Then wanarudi kuja kusubiri katiba mpya,na ripoti ya Uchunguzi wa viungo vya IMTU.

Hakuna tunachoweza hata kimoja.
 
Mie nilimuona Boxer Sema alionewa ni kweli Huyu wampe maandalizi mazuri na wawe wanampeleka sana Kenya mtizame Mo Farah alikuwa anapelekwa sana Kenya Sema Huyu watasema kafanya vibaya watamvunja moyo wakirudi hapewi mafunzo wala hawatomshughulikia mpaka karibu na mashindano.

Huyo bondia ilikuwaje? alikuwa anapigana na mtu wa wapi?

Last time/mwaka gani umemuona Mtanzania anashindana kwenye Diamonds League?

Kipindi niko mitaa ya akina Cipha, wabongo walikuwepo wanashiriki kwenye Diamond League

Angalia leo Metres 5000 kwa Wanawake hakuna hata mbongo mmoja, ila kuna mshiriki wa Papua New Guinea ambaye alizungukwa mara mbili na wenzake
 
Hivi watanzania tumelaaniwa au tumelogwa. Hakuna tunachoweza. Nashauri wapewe medali wakifika airpot. Wote wapewe za gold, waende Magogoni na bungeni. Wafanyiwe sherehe nzito. Ndio tutachoweza sisi.
 
Huyo bondia ilikuwaje? alikuwa anapigana na mtu wa wapi?

Last time/mwaka gani umemuona Mtanzania anashindana kwenye Diamonds League?

Kipindi niko mitaa ya akina Cipha, wabongo walikuwepo wanashiriki kwenye Diamond League

Angalia leo Metres 5000 kwa Wanawake hakuna hata mbongo mmoja, ila kuna mshiriki wa Papua New Guinea ambaye alizungukwa mara mbili na wenzake
northern Island mu Irish jamaa alimpiga mu Irish ngumi za uso nyingi ila BBC wanaonyesha reply za Mu Irish tu mtangazaji kajifanya Mtanzania kashinda round ya mwisho tu ah upendeleo upo kwa washindanaji wa Britain Sema 400m vijiti wale Nigeria wamewafanyia kusudi England kuwawekea mikono kijanja.
 
kufuatilia michezo tanzania inachosha sana yaani mtu unajitolea kuisapoti lkn wapi ndo maana hata timu ya taifa nayo imechokwa tu na raia.ngoja ligi za ulaya zianze tuendelee tu kuwa watumwa.daa inakera kweli.
 
northern Island mu Irish jamaa alimpiga mu Irish ngumi za uso nyingi ila BBC wanaonyesha reply za Mu Irish tu mtangazaji kajifanya Mtanzania kashinda round ya mwisho tu ah upendeleo upo kwa washindanaji wa Britain Sema 400m vijiti wale Nigeria wamewafanyia kusudi England kuwawekea mikono kijanja.

Hiyo inaitwa uzalendo lol .... ila dah sisi inabidi tuwe serious na hivi vitu

Haina haja ya kushiriki kama hatujajiandaa vizuri, siku hizi sio Ngumi wala Riadha tunachoweza.

Nimesoma kwenye thread moja kuna Kiongozi mmoja anasema "matumaini" ya kupata medali yamebakia/yapo kwenye mashindano ya cycling.... dah nilichoka kusikia hivyo
 
Kwanini hawa jamaa wa Olympic wasibadilishe viwango vya ushindaji kama walivyofanya kwenye Elimu hapa TZ! Kuwepo na medali hata za Aluminium!

hahahahahahahahah
umewaza vyema
 
Back
Top Bottom