Michuano ya Chalenji yaota mbawa

Michuano ya Chalenji yaota mbawa

cnjona

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2014
Posts
1,027
Reaction score
239
Michuano ya Cecafa Senior Chalenji sasa haipo tena baada ya waandaaji Ethiopia kujitoa, hivyo kukosa muandaaji mbadala.

Michuano hiyo ilitarajiwa kuanza Novemba 24 hadi Desemba 9, mwaka huu huko Ethiopia bingwa mtetezi akiwa ni Kenya.

Katibu Mkuu wa Baraza la Vyama vya Soka vya Afrika Mashariki na Kati (Cecafa) Nicholas Musonye, alisema baada ya Ethiopia kujitoa, imekuwa ngumu kupata nchi mbadala ya kuandaa michuano kwa haraka.
“Hatukupenda, lakini imeshindikana kabisa, tulifanya kila juhudi lakini mambo yamekuwa ni magumu,” alisema Musonye.

Alisema imekuwa ngumu kupata wadhamini pia kwani waandaaji walijitoa dakika za mwisho, hali iliyowachanganya.
 
Attachments

  • Musonye-hits-back.jpg
    Musonye-hits-back.jpg
    21.6 KB · Views: 247
michuano yoyote ile hapa EA iwe ya timu za taifa au vilabu iandaliwe na Tanzania tu.
hivi huyu musonye ni CECAFA life executive secretary? tunataka demokrasia kwenye michezo
 
michuano yoyote ile hapa EA iwe ya timu za taifa au vilabu iandaliwe na Tanzania tu.
hivi huyu musonye ni CECAFA life executive secretary? tunataka demokrasia kwenye michezo

Tenga asipomwondoa Nicolas Musonye hiyo CECAFA itamfia mikononi mwake. Nahisi hata Malinzi kuweka ngumu kuleta hayo mashindano Tanzania. Musonye ame-overstay hapo CECAFA.
 
Tenga asipomwondoa Nicolas Musonye hiyo CECAFA itamfia mikononi mwake. Nahisi hata Malinzi kuweka ngumu kuleta hayo mashindano Tanzania. Musonye ame-overstay hapo CECAFA.

Kumbe ndio tatizo!!
 
Michuano ya Cecafa Senior Chalenji sasa haipo tena baada ya waandaaji Ethiopia kujitoa, hivyo kukosa muandaaji mbadala.

Michuano hiyo ilitarajiwa kuanza Novemba 24 hadi Desemba 9, mwaka huu huko Ethiopia bingwa mtetezi akiwa ni Kenya.

Katibu Mkuu wa Baraza la Vyama vya Soka vya Afrika Mashariki na Kati (Cecafa) Nicholas Musonye, alisema baada ya Ethiopia kujitoa, imekuwa ngumu kupata nchi mbadala ya kuandaa michuano kwa haraka.
"Hatukupenda, lakini imeshindikana kabisa, tulifanya kila juhudi lakini mambo yamekuwa ni magumu," alisema Musonye.

Alisema imekuwa ngumu kupata wadhamini pia kwani waandaaji walijitoa dakika za mwisho, hali iliyowachanganya.

Mkuu cnjona umeniharibia siku kabisa, kufungua tu huu uzi nimekutana na picha ya huyu Nyang'au, nimetapika sana. Na alaaniwe Musonye siku zote za maisha yake, Jamal Malinzi usikubali kuyaleta mashindano haya hapa TZ huyu jamaa asiyetahiriwa atakuja kutuharibia dada zetu. Sitashangaa kusikia akisema kuwa Ethiopia ime-sabotage mashindano ya 2014. Haya mashindano yafe kabisa hadi Musonye aachie ngazi!
 
Last edited by a moderator:
musonye usilete mucheso kwa mupira nakumbuka kuna mwaka aliwaita yanga Wa se nge
 
musonye usilete mucheso kwa mupira nakumbuka kuna mwaka aliwaita yanga Wa se nge

Hivi huyu jamaa alichaguliwa kwa sera ya kukaa pale cecafa kwa kipindi chote cha maisha yake!!!! na imekuaje mpaka ethiopia wakaghaili kuandaa haya mashindano!!!!
 
Yaani bado cecafa inaendeshwa kiswahili hivi..? Wanashindwa kuwapata sponsors wa kuaminika kweli kudhamini haya mashindano..? Maana muda unavyozidi kwenda ndo yanavyozidi kudorora.. Huyu Musonye anatakiwa aachie ngazi now awaachie wengine wenye mawazo mapya na mbadala.. Vinginevyo mashindano haya ambayo ni makongwe Africa yatafutika kabisa hapa Afrika ya mashariki..
 
Ukishangaa ya cecafa utayaona ya caf..
 
Wadau,tatizo kubwa la haya mashindano Ni kumtegemea zaidi host nation agharimie usafiri na malazi.Nafsi yangu inaniambia kuwa kwa kuwa kila nchi shiriki inafaidika kwa timu yake kujaribu wachezaji wake mi bora kwa siku za usoni nchi wanachama zikabeba sehemu ya gharama hasa kwenye malazi na usafiri WA ndani.
 
huyu MUSONYE hana mpango wa kukuza soka la EA, basi kaeni mumwambie tatizo ndio hili, na usikubali kuyaleta hapa tz..
 
Africa mashariki hatuujui mpira tunaajiri mtu kama musonye mpiga dili mpira hajui kazi kubwa
 
viongozi wa cecafa wanaua mpira hawana lolote mimi nashauri hilo baraza livunjwe liundwe upya na utaratibu mpya na mpaka fifa walitambue kuliko hivi sasa mashindano yenyewe kama ya bonanza
 
huyu MUSONYE hana mpango wa kukuza soka la EA, basi kaeni mumwambie tatizo ndio hili, na usikubali kuyaleta hapa tz..[/

QUOTE]
Musonye alikuja hapa Tz akwatukana sana Yanga kwa mambo ambayo yalikuwa yanazungumzika kwa lugha ya kawaida ya kiungwana kabisa. Pale ndo nilipoona Cecafa haikuwa na dalili nzuri ya kuendelea kuwepo.Nicolaus Musonye is a very rude person and he thinks he can drag people to obey what he thinks is right! Never on earth! He is a Kenyan with Kenyan attitudes and we will remain Tanzanians with our own attitudes! He should therefore learn how to respect other peoples attitudes before he thinks he is on top of everybody! Kama Musonye hataachia ngazi pale Cecafa lazima ife! Anglia Kenya kwenyewe kuna ugomvi wa miaka mingi wa kuwa na Kenya football federation mbili! Zote zinataka madaraka ya kuongoza mpira. Kama Musonye angekuwa wa maana si angeenda tatua shida ya kwao kwanza! To hell with Musonye! We don't like him at all!
 
Wadau,tatizo kubwa la haya mashindano Ni kumtegemea zaidi host nation agharimie usafiri na malazi.Nafsi yangu inaniambia kuwa kwa kuwa kila nchi shiriki inafaidika kwa timu yake kujaribu wachezaji wake mi bora kwa siku za usoni nchi wanachama zikabeba sehemu ya gharama hasa kwenye malazi na usafiri WA ndani.

Mkuu Jamal Malinzi siku hizi kila kitu kinaendeshwa kwa faida.. Kama haya mashindano yataendelea kuongozwa kwa fikra za kiridhaa basi hakutakuwa na mafanikio yeyote na ni bora yafutwe..! Ndo maana ninadhan musonye & co watoke na kupisha wenye mawazo mapya.. Afrika mashariki kuna makampuni makubwa ambayo yana uwezo wa kudhamini mashindano haya.. Dstv kupitia supersport wanaendelea kutangaza mashindano kadhaa hapa Afrika ya mashariki.. Matangazo yanatosha kuhakikisha nchi mwenyeji haingii gharama.. Bahati nzuri audience ya mpira kwa east Afrika iko juu.. na ukichukulia haya mashindano yana historia kubwa hapa Afrika na ndo mashindano ya zamani kuliko mengine..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom