Michuano ya AFCON kwa kiasi chake ina ladha ya soka la Ulaya

Michuano ya AFCON kwa kiasi chake ina ladha ya soka la Ulaya

Michuano ya AFCON mwaka huu inavutia sana kiasi kwamba nimelazimika kutazama kila mechi, unlike michuano iliyopita ilifanyika mwaka 2023 nadhani, sikuweza kabisa kuangalia maana sikuvutiwa nayo.
 
Ukitizama michuano ya AFCON unapata ladha ya soka la Ulaya kwa kiasi kikubwa kutokana na aina ya wachezaji na team wanazochezea Ulaya.

Mfano kikosi cha timu ya Taifa ya Congo chote kinacheza soka la Ulaya kasoro Mayele pekee.
Kwangu mimi Timu za kaskazini wanabalaa, haswaa timu langu pendwa The Atlas, Morocco 🇲🇦 on 🔥🔥🔥
 
Una uhakika mama amewatuma kuuwa?
We jamaa ni kiazi tu, mambo mengine bora muwe mnakaa kimya tu!

Kwenye kikao cha wazee alisemaje kuhusu wazazi kutowakanya vijana kutoka kwenye maandamano na pia alisisitiza na akauliza mlitaka tutumie nguvu ipi kwenye kutuliza maandamano?

Sasa hapo inahitaji mzungu ili uelewe kwamba yeye ndo master mind wa kile kilichofanyika
 
Kwa kweli michuano kama hii haijwahi tokea ....ni fire sana mwanzo mwisho

Case study mechi ya Zimbabwe na south Africa

Penalty tu ndo zinaounguza ladha
 
Kwa hii afcon Congo wamenivutia sana, natamani wabebe kombe
 
Back
Top Bottom