Michoro chini ya Fly-Over

Michoro chini ya Fly-Over

snochet

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2011
Posts
1,492
Reaction score
1,304
Katika pitapita zangu nimeshaonaga pillars nyingi zikirembwa na michoro.Lakini kwenye hizi flyover zetu ingependeza wachore hivi...kama uongozi utawaruhusu na kuwasimamia ili wachore vitu vyenye maudhui mema(Kama walivyosimamia uchoraji wa ukuta wa shule ya Jangwani),nadhani itafanya jiji lipendeze zaidi.
Kama hizi zinapatikana Petermaritzburg,Durban,SA.

upload_2016-9-1_9-32-4.png
upload_2016-9-1_9-35-5.png

upload_2016-9-1_9-33-59.png
 
Durban nako kuna mamantilie au nimeona vibaya
 
Back
Top Bottom