Michongoano inaendelea kama kawaida | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Michongoano inaendelea kama kawaida

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Zeddicus, Sep 17, 2012.

 1. Zeddicus

  Zeddicus JF-Expert Member

  #1
  Sep 17, 2012
  Joined: May 5, 2012
  Messages: 590
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 60
  MCHONGOAN0

  1.We ni mweusi kinoma hadi damu yako huzunga na tochi.
  2.Wewe ni mlevi mpaka mosquito ikikuuma inalewa.
  3.Uko mu-ugly mpk ukitaka kupanda daladala conda anakutell "ha2bebi wanyama humu"
  4.Wewe ni mchafu hadi mosquito ikikuuma inaenda kubrush meno.
  5.Paka yenyu ni noma eti ikikamata panya inaitisha uma,kisu na chili sauce
  6.Wewe ni mtu wa kwaya mpk ukipumua hewa chafu(ukinyamba) inatoka mtindo wa Vigelegele.
  7.Wewe ni mchafu mpk ukiingia kwa river ku-swimm Fish huruka nje ka zinatema mate puu.
  8.Demu wako ni mu-ugly hadi akipiga picha ina-come up na option ya ku-delete photo.
  9.Wewe ni mlafi sana hadi eti unaonjaga maji ya kuoga
  10.Wewe ni mweusi sana hadi uki-shootiwa na bullet inarudi where the hell is the target.
   
 2. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #2
  Sep 17, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  Nimependa hizo red
   
 3. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #3
  Sep 17, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  Ulizaliwa sokoni ukafunikiwa majani ya mboga
   
 4. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #4
  Sep 17, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,816
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Hahahahahahaaaa!
   
Loading...