SIR.NOM
Member
- Sep 8, 2012
- 78
- 24
Wadau kama kichwa kinavo jieleza apo juu.Ivi ni mchongo gan mtu unaweza wekeza kwa kutumia knowledge tu.Na ukawa unakutengenezea pesa bila ata kuhitaji kias kingi cha pesa kama mtaji.Au pacwepo na hela yoyoteya kuwekeza kama mtaji.
#Mazingira niliyopo ni ya mjini.
#Mazingira niliyopo ni ya mjini.