Malaika wa Kifo
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 4,089
- 4,733
Hili jibu huwa nalipenda kweliSitaki[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125]
HahahaaaH
Hili jibu huwa nalipenda kweli
Yaani nikijibiwa mimi sasa, kutwa nzima nitakuwa na FurahaHahahaaa
Acha mambo yko bana[emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaani nikijibiwa mimi sasa, kutwa nzima nitakuwa na Furaha
Kweli tena, kuna siku nakumbuka ulinijibu hivyo wacha nifurahi mpaka kazini wakanishangaaAcha mambo yko bana[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] naona umeamua nicheke leoKweli tena, kuna siku nakumbuka ulinijibu hivyo wacha nifurahi mpaka kazini wakanishangaa
Nini sasa? SITAKI uchokozi ujue, tena SITAKI
Wacha niende kwa wauza SIMATIFONI maana kuna mtu anataka GALAKISI ESI EITI YUZIDI[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaaani wewe unanifurahishaga sanaaa
Shaka ondoaNa mm ninunulie s9 plus
Kwani inauzwa Dollar ngapi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama nakuona
Ok, maana ndo nnazozitumia hizo, lakini si nilikupa ukakataa?!Kama dollar mia 9 na kitu hivi
Wewe ulinielewa vibaya ila ulisahau kwamba kutoa ni Moyo, mbona huwa ninasaidia wenye shida! Kwa nini nishindwe kukusaidia wewe?Vile ni kunipa au ulitaka nikuuzie papuchi