Michezo ya utotoni!!!

nakumbuka mimi nilikua napenda sana kucheza kombolela na kwenda kujificha kwenye mikahawa na mchuchu kombolela zamu yangu ikifika nilikua nahonga natoa shs 100 mwenzangu ananisurfia kisha kama kawa kwenye mikahawa na ladies mwingne nilijikuta namaliza mzunguko wote wa ladies waliokuwepo ilikuwa nomaaaa.........but ni enzi hizo not now kuna ngoma take care utapoteaaaaa
 
&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;<br />
Umenikumbusha mbali mkuu, Gololi na stika za kwenye big G..
<br />
<br />
Aaaaaagh! Stiker za bg G?
Nyie ndo watoto nyoronyoro wa jaaana hapa!
Enzi ze2 2lkuwa 2nashndana kutengeneza baiskel za mit(pogopogo) na unaiendesha kabsa!
Kurusha tiara masafa ya mbali mkiwa mlimani, kutengeneza vitenesi kwa kutumia miti ya mpira n.k
 
nakumbukai siku moja niliitisha kombolela makusudi, nikajificha na kabinti ka watu, yaani ulikuwa ni utoto kweli loh.!
 
kwetu hizo baiki tulikuwa tunaziita "gorogojo" huwezi amini, zilikuwa zinatembea kabisa.... nakumbuka jamaa mmoja aliipata gorogojo yake nama za uajili TZN 101
 
eeeh umenikumbusha mbali sana wakti wa vita ya Uganda na Tz tulikuwa shule kama tucheza vita pia kama tz na ug..mmmh we acha 2
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom