Aisee! Hii picha inanikumbusha enzi zileeeeeeee! Tulikuwa tunaishi Ilala Flats(miaka ya 70), kulikuwa na makundi kati yetu na watoto wa Ilala Mchikichini! Ilikuwa ubabe ubabe tu! Siku hizi mnaita Bifu kwa kwenda mbele!
Duh! sijui hapa ni wapi ktk Afrika? Inaonesha ni nini kinachoendelea kunako jamii husika. Watoto kila cku wanaangalia picha za kutisha, kinachofuata ni kujaribu kuigiza. Noma sana.
Duh! sijui hapa ni wapi ktk Afrika? Inaonesha ni nini kinachoendelea kunako jamii husika. Watoto kila cku wanaangalia picha za kutisha, kinachofuata ni kujaribu kuigiza. Noma sana.
Wewe uite mchezo, lakini unaweza ukawa haukua mchezo wala masihakra. Watoto kama hawa walitumiwa na waasi kufanya ukatili mbaya kuliko maelezo kule Siera Leon.
...Ni michezo tu hakuna kingine hapo. Huoni huyo wa pili kutoka kulia ancheka.ingekuwa dogo kawapiga mkwara wa kweli hakuna ambaye angecheka....!! But it has message though!