Michezo magazetini leo...

Michezo magazetini leo...

Status
Not open for further replies.
Yaliyopita
Pekua Tovuti











Isha Mashauzi amtambulisha Fella wa TMK



na Ruhazi Ruhazi




KIONGOZI wa kundi la muziki wa kizazi kipya la TMK Wanaume Family la Temeke Dar es Salaam, Said Fella, ambaye mwaka jana alitoka na albamu yake ya kwanza iliyotambulika kwa jina la ‘2009', sasa anatarajia kutoka kivingine kabisa.

Akizungumza na mwandishi wa habari hizi jijini jana, Fella, alisema baada ya kutuma salamu kwanza katika albamu hiyo ya ‘Bongo Fleva' sasa ameamua kutoka kwa upande wa taarabu ili kuthibitisha kuwa ana uwezo katika medani ya muziki.

Alisema kutokana na hilo, sasa ameamua kuwapa wapenzi wa burudani ladha tofauti za muziki, hivyo anatoa wito kwa wadau kumuunga mkono.

Fella alisema tayari ameachia wimbo wa kwanza wa albamu hiyo unaokwenda kwa jina la ‘Simuachi', aliomshirikisha Isha Ramadhani ‘Isha Mashauzi', ambao umerekodiwa katika studio ya Poteza.

"Katika kuwadhihirishia wapenzi wangu kwamba ninaweza muziki, nimeachia wimbo mmoja wa taarabu ambao nimemshirikisha mkali wa miondoko hiyo hivi sasa hapa nchini, bibie Isha Mashauzi," alisema Fella.
 
Kamarade Choki atuma dongo Twanga



na Mwandishi wetu




BENDI ya muziki wa dansi ya Extra Bongo ‘Next Level Wazee wa Kizigo', juzi ilifanikiwa kuwachengua vilivyo maelfu ya mashabiki wa muziki wa dansi, waliofurika kwenye Ukumbi wa Msasani Club jijini Dar es Salaam, wakati wa onyesho maalumu la utambulisho wa wanamuziki wake wapya na nyimbo mbili mpya.

Katika onyesho hilo lililoanza majira ya saa sita usiku, Extra Bongo ilianza kuchengua mashabiki wake kwa kupiga wimbo wake mpya wa ‘Mtenda Akitendewa', ambao ulionekana kuwa ni kijembe, kabla ya mashabiki kujitokeza kwa wingi kumtuza mtunzi wa wimbo huo, Ally Choki, kabla ya kushusha kitu kipya kinachokwenda kwa jina la ‘Neema' ikiwa ni kazi ya Athanas Muntanabe.

Kibao hicho ‘Mtenda Akitendewa' kinaonekana na kutafsiriwa na mashabiki wengi wa muziki wa dansi, kama dongo kwa wamiliki wa bendi ya Twanga Pepeta ambayo Choki alishawahi kuitumikia, ambako hivi karibuni kuliibuka ‘bifu' baada ya kuchukuliana nyota wao.

Baada ya nyimbo hizo, bendi hiyo ilishusha shoo kali iliyowafanya mashabiki kushindwa kutulia vitini, kutokana na umahiri uliokuwa ukionyeshwa na wanenguaji wake wapya waliokuwa wakiongozwa na Hassan Musa ‘Super Nyamwela', Husna Bongo, Master B na Otilia Boniface.

Aidha, Choki aliwatambulisha wanamuziki wake wapya aliowanyakua kutoka Twanga Pepeta, ambao ni mtunzi na mwimbaji Rogert Hega ‘Caterpillar', rapa Saulo Ferguson na mpiga gitaa la besi, Hosea.

Aidha, Kamarade Choki alinogesha onyesho hilo pale alipopiga nyimbo za zamani za bendi hiyo, ‘Double Double', ‘Regina Zanzibar' kabla ya kupiga ‘Nguzo tano za Mapenzi', ambao aliimba na Rogert wakiwa Mchinga Sound.
 
Kamanda Gurumo kutundika daruga 2013



na Mwandishi wetu




MWANAMUZIKI nguli wa muziki wa dansi Muhidin Maalim Gurumo ‘Uncle Gurumo' wa bendi ya Msondo Ngoma ametangaza kuiweka kando fani hiyo ifikapo mwaka 2013.

Akizungumza jijini Dar es Salaam juzi, Gurumo ambaye ni mwanamuziki aliyeweka historia ya kupiga muziki miaka 50 mfululizo, alisema amepanga kustaafu muziki mwaka huo, ili kuwaachia vijana nao kuendeleza jahazi la muziki wa dansi.

Gurumo ambaye mwanzoni mwa mwaka huu alizusha hofu kwa wadau wa muziki huo, baada ya kulazwa Hospitali ya Taifa Muhimbili akisumbuliwa na ugonjwa wa mapafu kujaa maji, kabla ya kupata nafuu, alisema, kwa sasa hali yake inaendelea vema na wakati wowote anaweza kurudi jukwaani kuwapa burudani mashabiki wa Msondo.

Alisema, anatarajia kuibuka na nyimbo mbili mpya ikiwa ni zawadi kwa mashabiki wa bendi yake, ambapo aliwashukuru mashabiki wa muziki wa dansi kwa namna walivyomuombea dua aweze kupona, huku akimtaja Rais Jakaya Kikwete kuwa alichangia kwa kiwango kikubwa kupata matibabu ya maradhi yaliyokuwa yakimsumbua.
 
Jokha Kassim awaomba ‘Mapeshedee' ajishebedue



na Ruhazi Ruhazi




MWIMBAJI nyota wa muziki wa taarabu, Jokha Kassim, amesema bado anaendelea kuhangaika na uzinduzi wa albamu yake binafsi ya ‘Wacha Nijishebedue' iliyokwama kuzinduliwa mwaka jana.

Kassim alisema anasikitika kukwama tena kufanikisha azma ya uzinduzi wa albamu hiyo, ambao awali alipanga kuizindua katikati ya mwaka jana.

Jokha alisema kinachomkwamisha ni kukosa wafadhili na wadhamini wa kumgharamia ukumbi na gharama nyingine za kufanikisha uzinduzi huo unaompasua kichwa.

Hata hivyo, Jokha alisema bado hajakata tamaa kwa vile anaendelea kuwasiliana na wadau mbalimbali wa muziki ambao baadhi wameonyesha matumaini ya kufanikisha uzinduzi mwaka huu.

"Bado sijafanikiwa kufanikisha uzinduzi wangu lakini sitakata tamaa, naamini Mungu atanisaidia ili nitimize dhamira yangu mwaka huu," alisema Jokha.

Alizitaja nyimbo zinazounda albamu yake hiyo ni 'Yamekushinda', 'Meseji za Nini', 'Kinyang'anyiro Hukiwezi', 'Kelele za Mlango' na ‘Wacha Nijishebedue' uliobeba jina la albamu.



juu
 
Yanga, Simba zatunziana heshima
• Samatta afichwa, Chuji apata wakati mgumu


na Makuburi Ally




LICHA ya tambo, majivuno na mbwembwe za kila aina, lakini jana ilishuhudiwa mahasimu wa jadi hapa nchini katika soka, Simba na Yanga, wakitunziana heshima baada ya kwenda sare ya bao 1-1 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Dakika mbili kabla ya mwamuzi Oden Mbaga kupuliza kipenga kuashiria pambano kuanza, nyota wa Simba ambaye hivi sasa ni majeruhi, Uhuru Selemani, alikwenda kwenye benchi la Simba na kuwasalimia wenzake kisha Kocha wake, Mzambia Patrick Phiri na kurejea jukwaani, jambo lililoshangiliwa na mashabiki lukuki wa timu hiyo waliohudhuria mechi hiyo.

Yanga ndio walikuwa wa kwanza kulishambulia lango la Simba na kufanikiwa kupata kona dakika ya kwanza, baada ya Juma Nyoso kutoa mpira akiwa katika harakati za kuokoa, lakini haikuzaa matunda.

Dakika ya pili, kichwa cha Amri Kiemba wa Simba kilitoka sentimita chache baada ya kuunganisha krosi ya Haruna Shamte.

Alikuwa ni Kiemba tena dakika ya 26, alipowapangua mabeki wa Yanga na kumpa pande Mbwana Sammatta lakini shuti lake likatoka nje.

Hadi dakika 45 za kwanza zinamalizika, licha ya Simba kumiliki mpira, lakini hakuna timu iliyokuwa imeona lango la mwenzake.

Kipindi cha pili kilianza kwa kasi, ambapo Gumbo almanusura aipatie Simba bao dakika ya 53 baada ya kuunganisha krosi ya Mgosi, lakini kipa Beko akapangua.

Yanga walijibu mapigo na kufanikiwa kupata penalti dakika ya 55 baada ya Mwape kuangushwa katika eneo la hatari na Juma Nyoso, ambapo Stephano Mwasika alimchambua kipa Juma Kaseja.

Dakika ya 73, Mussa Hassan Mgosi aliisawazishia Simba bao kwa kichwa, baada ya faulo iliyopigwa na Emmanuel Okwi ambaye alichezewa vibaya na Canavaro.

Lakini kuingia kwa bao hilo kulimchanganya mwamuzi Oden Mbaga na kushindwa kutoa maamuzi, jambo lililosababisha Kocha Patrick Phiri kuingia uwanjani kulalamika.

Baada ya sintofahamu hiyo, Mbaga ilibidi aende kuomba ushauri kwa mwamuzi wa akiba na mwamuzi msaidizi namba moja na hatimaye kulikubali bao hilo.

Hata hivyo, kutokana na kitendo cha Phiri kuingia uwanjani, alikutana na adhabu ya kuondolewa kwenye benchi na kutakiwa kukaa jukwaani.

Yanga walifanya mabadiliko na kumtoa Juma Seif na kuingia Athumani Idd ‘Chuji', ambako alipata wakati mgumu baada kupokewa na makelele ya mashabiki wa Simba waliokuwa wakiimba ‘Teja, teja, teja'.

Baada ya Simba kusawazisha bao hilo, walicharuka na kutaka kuongeza bao la ushindi, lakini Yanga walikuwa imara kuokoa hatari zote, licha ya Wana Jangwani nao kubadilika dakika za majeruhi na kufanya mashambulizi ingawaje milango yote ilikuwa migumu.

Msambuliaji mahiri chipukizi wa Simba, Samatta, ambaye alitabiriwa kung'ara leo, aliwekewa ulinzi mkali na mabeki wa Yanga na kumfanya kushindwa kufanya vitu vyake vilivyotegemewa.

Hadi filimbi ya mwisho, Msimbazi heshima, Jangwani adabu, hivyo mashabiki kushindwa kutambiana.

Kwa matokeo hayo, Yanga bado iko kileleni ikiwa na pointi 39 ikifuatiwa na Simba yenye 38, ingawa ina mchezo mmoja mkononi.

Baada ya mechi, Kocha Phiri alisema Yanga iliyokuwa imeandaliwa na Mserbia Dusan Kondic ilikuwa nzuri kuliko hii ya sasa na kuwa vijana wake walicheza vizuri ingawaje mechi ilikuwa ngumu.

Yanga: Yew Berko, Shadrack Nsajigwa, Stephano Mwasika, Nadir Harob ‘Canavaro' Chacha Marwa, Juma Seif, Nsa Job, Nurdin Bakari, Davies Mwape, Jerry Tegete, Kiggi Makasi.

Simba: Juma Kaseja, Haruna Shamte, Amir Maftah, Juma Nyoso, Kelvin Yondan, Jerry Santo, Rashid Gumbo/ Emmanuel Okwi, Patrick Ochan, Mussa Hassan Mgosi, Mbwana Samatta, Amri Kiemba.
 
Mburahati Queens, Sobber kuwaenzi wanawake Pwani



na Mwandishi wetu




KATIKA kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, timu ya soka ya Mburahati Queens yenye makazi yake jijini Dar es Salaam inatarajia kushuka dimbani kukipiga na Sobber FC kwenye viwanja vya Shirika la Elimu Kibaha mkoani Pwani, Machi 8, mwaka huu.

Mburahati Queens ni kati ya timu za kupigiwa mfano katika soka ya wanawake hapa nchini, hasa kutokana na kutoa nyota kadhaa timu ya Taifa ‘Twiga Stars’ wakiwano, Mwanaidi Tamba ‘Kidume’, Mwanahamis Omar ‘Gaucho’, Asha Rashid ‘Mwalala’ na wengineo.

Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa jana, Mkurugenzi wa asasi ya kiraia inayoshughulika na utoaji wa elimu kwa jamii ya Youth Partnership Country Wide (YPC), Israel Ilunde, alisema kuwa maandalizi yote kwa ajili ya pambano hilo yamekamilika.

Ilunde alisema kuwa asasi yake imeamua kuandaa pambano hilo, ikiwa ni sehemu ya kusherehekea siku ya wanawake duniani, lengo kubwa likiwa kuwashirikisha vijana, hasa wanawake katika juhudi za maendeleo.

“Tarehe 8 mwezi huu ni siku maalumu ya wanawake, hivyo tuna imani siku hiyo ni ya jamii nzima na si wanawake tu, hivyo kwa kushirikiana tumeona ni bora kutoa burudani kupitia timu hizo mbili, ambapo itafanya vijana wa kike pamoja na wa kiume, kutambua umuhimu wa siku ya wanawake duniani,” alisema Ilunde.

Aidha, aliongeza kuwa kwa kutambua umuhimu wa mchezo huo, YPC imeandaa zawadi kwa timu hizo ikiwemo mipira, ambako kwa kufanya hivyo kutasaidia kuleta hamasa zaidi kwa vijana wa kike kujikita zaidi katika kuleta mabadiliko, kupitia medani ya michezo.

Katika hatua nyingine, Mkurugenzi huyo aliwaomba wadau na mashabiki mbalimbali ndani ya Mkoa wa Pwani, kujitokeza kwa wingi siku hiyo ili kushuudia mtanange huo ambao unatarajiwa kuwa na upinzani wa hali ya juu.
 
Fainali Vijana Kawe Cup leo



na Mariana Mathias




KINYANG'ANYIRO cha michuano ya vijana cha Kawe Cup kinatarajiwa kufikia tamati leo kwenye uwanja wa Tanganyika Packers jijini Dar es Salaam.

Lengo la michuano hiyo na kuibua na kuendelezea vipaji vya soka kwa vijana, ambako nyota wanne watakaong'ara katika michuano hiyo, watapata nafasi ya kwenda nchini Brazil kwa mafunzo zaidi.

Akizungumza na Tanzania Daima, mdhamini wa ligi hiyo, Mkurugenzi wa Utamaduni na Michezo Ubalozi wa Brazil Tanzania, Lazaro Ngimba alisema, fainali ya leo ambayo itahitimisha mchakato wa ligi hiyo yenye lengo la kuendeleza vipaji vya vijana, itakuwa na upinzani wa hali ya juu, kwani ni mara ya kwanza timu hizo kupata changamoto hiyo.

Alisema bingwa wa ligi hiyo atazawadiwa jezi jozi mbili, mbuzi pamoja na kombe, huku wa pili akiondoka na jezi jozi moja na mpira mmoja.

Pia vijana wenye vipaji watakaopatikana kutokana na mashindano hayo watapata nafasi ya kutangazwa kimataifa.

Alisema, fainali ya leo itawakutanisha Kawe Market na Big Brother.

Aliongeza kuwa, michuano hiyo ililenga pia kutoa changamoto kwa vijana kuongeza jitihada katika kuonyesha vipaji vyao, kwani itawasaidia kutambulika katika jamii, kitu ambacho kinaweza kuwasaidia ndani ya maisha yao.

Pia alitoa wito kwa watu mbalimba wenye uwezo, kusapoti vijana kimichezo, sanaa na hata nyimbo, kwani wako wengi wenye vipaji mbalimbali ila hawapati msaada katika kuinua vipaji vyao.

Vijana hao wanne watakaopata nafasi ya kwenda Brazil, watapokelewa na aliyekuwa kocha wa timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars' Marcio Maximo na kupelekwa katika Chuo cha Curabita nchini humo.



juu
 
Docks yapunguzwa kasi Ligi ya Taifa

Imeandikwa na John Nditi, Morogoro; Tarehe: 6th March 2011 @ 08:53 Imesomwa na watu: 11; Jumla ya maoni: 0





TIMU ya Soka ya Docks ya Wilaya ya Mvomero inayoshiriki Ligi ya Taifa ngazi ya Mkoa imepunguzwa kasi ya kuendelea kutamba baada ya kufungwa bao 1-0 na timu ya Tumbaku ya Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro.

Katika mchezo huo wa awali uliofanyika kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini hapa ambao ulihudhuriwa na mashabiki wachache, timu hizo zilionesha ustadi mkubwa kwenye kusakata kabumbu.

Mchezo mwingine uliofanyika juzi ni kati ya timu ya Mkamba Rangers na Mitumba ya Kilosa ziligawana pointi baada ya kutoka sare ya mabao 2-2.

Vijana wa Mkamba ndiyo waliokuwa wa kwanza kupata bao kwenye dakika ya 15 kupitia mchezaji Erick Pangapanga baada ya kuwachambua mabeki wa timu ya Mitumba na kuukwamisha mpira huo wavuni.

Hata hivyo bao hilo halikuweza kudumu muda mrefu ambapo dakika ya 24 timu ya Mitumba ilipata penalti baada ya mchezaji wa Mkamba kuunawa mpira eneo la hatari na Mwamuzi Athuman Kambi kuamuru penalti na bila ajizi Kulwa Shomari alipachika mpira huo wavuni.

Timu ya Mitumba iliongeza bao lingine la pili kwa njia ya penalti iliyopachikwa na Kulwa Shomari baada ya madhabi kufanyika eneo la hatari.

Hata hivyo vijana wa Mkamba waliamua kulisakama lango la wapinzani wao na dakika ya 40 mchezaji Pangapanga aliichambua tena ngome ya Mitumba na kupiga shuti kali lililojaa wavuni na kuandika bao la pili.
 
Yanga, Simba hakuna mbabe

Imeandikwa na Mwandishi Wetu; Tarehe: 6th March 2011 @ 08:15 Imesomwa na watu: 181; Jumla ya maoni: 0




WAKONGWE wa soka nchini Yanga na Simba jana waliwekeana heshima baada ya kutoka sare ya kufungana bao 1-1 katika mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara iliyochezwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Matokeo hayo, yanaifanya Yanga iendelee kuongoza ligi kwa tofauti ya pointi moja, kwani sasa ina pointi 39 na Simba ina pointi 38.

Hata hivyo, matokeo hayo yanaweza kuisaidia zaidi Simba ambayo imecheza mechi pungufu kulinganisha na Yanga, Simba ina mechi 17 na Yanga jana ilicheza mechi yake ya 18.

Katika mechi hiyo iliyokuwa ikioneshwa moja kwa moja na chaneli ya Supersports, Simba walikuwa wakali katika safu ya ushambuliaji, huku Yanga wakiwa imara kwenye ulinzi.

Kwa mujibu wa takwimu za Supersports, karibu muda wote wa mchezo Simba ilikuwa ikimiliki mpira ‘ball possession' kwa asilimia 69 na Yanga asilimia 31.

Yanga ndio iliyokuwa ya kwanza kuandika bao la kuongoza katika dakika ya 56 lililofungwa kwa mkwaju wa penalti na Stephano Mwasika.

Penalti hiyo ilitolewa na Mwamuzi Oden Mbaga wa Dar es Salaam baada ya Juma Nyosso wa Simba kumchezea vibaya Davies Mwape wa Yanga.

Mwasika alipiga penalti hiyo kwa mguu wake wa kushoto iliyokwenda kutikisa nyavu za kwenye kona ya kulia mwa goli, na kumuacha kipa Kaseja akienda kushoto mwa goli.

Kuingia kwa bao hilo kulifanya timu zote kuzidisha mashambulizi ambapo dakika ya 74 mfungaji bora wa msimu uliopita, Mussa Hassan Mgosi aliipatia Simba bao la kusawazisha.

Hata hivyo Mwamuzi Mbaga alilikataa bao hilo, akidai halikuwa bao, lakini alilikubali dakika chache baadaye baada ya kuambiwa na mmoja wa waamuzi wake washika vibendera kwamba lilikuwa bao na pia kuona marudio ya picha kwenye runinga iliyopo uwanjani.

Mgosi alifunga bao hilo kufuatia mpira wa adhabu uliopigwa na Emmanuel Okwi na kuwa ‘wamoto' mikononi mwa kipa wa Yanga Yaw Berko ambapo aliutema ndipo mfungaji alipouwahi na kuupiga kuelekea golini ambapo ulivuka mstari wa goli na kutoka nje, hapo ndipo kulipokuwa na mzozo na Mwamuzi Mbaga kukataa si bao kabla ya kulikubali kwa msaada wa mshika kibendera.

Katika dakika hizo, Kocha wa Simba, Patrick Phiri alitolewa nje baada ya kuingia uwanjani kuamua wachezaji wake waliokuwa wamemzunguka Mbaga wakilalamikia bao.

"Mimi nashangaa kwanini nimetolewa nje wakati nilichokuwa nakifanya ni jambo zuri tu kuwazuia wachezaji wangu walivyokuwa wanamzonga mwamuzi,"alisema Phiri alipohojiwa na Supersports.

Aidha katika mechi ya jana, mchezaji Mbwana Samatta alikosa mabao mengi ambapo mengine alikuwa karibu na kipa lakini alishikwa na kitete na kupiga juu ama nje.

Baadhi ya mabao aliyokosa Samatta ni lile la dakika ya 26, dakika ya 38, na dakika ya 42. Na Amri Kiemba alikosa bao dakika ya 40.

Na kwa upande wa Yanga Mwape alikuwa mkosaji wa mabao kadhaa jana hasa lile la dakika ya 85, ambapo kipa wa Simba Kaseja alifanya kazi ya ziada kuokoa shuti lake ambalo lilikuwa likielekea kwenye nyavu, lakini Kaseja ambaye kwa siku za hivi karibuni mashabiki wake walipoteza imani naye alipangua shuti hilo.

Naye Jerryson Tegete aliyeifunga Simba katika mechi ya kwanza alikosa bao katika dakika ya 88, lakini sekunde chache baadaye Kocha Sam Timbe alimtoa na nafasi yake kuchukuliwa na Iddi Mbaga.
 
Blatter: FA could have punished Rooney

PRINT
RSS
22 comments »


Updated Mar 5, 2011 4:49 PM ET

FIFA president Sepp Blatter said Saturday that England's Football Association could have retrospectively punished Wayne Rooney for elbowing an opponent and urged managers - including Manchester United's Alex Ferguson - to show referees more respect.

Ferguson questioned the integrity of referee Martin Atkinson who failed to send off Chelsea defender David Luiz for fouling Rooney and then awarding a penalty kick against Chris Smalling, which led to United losing 2-1 in the Premier League on Tuesday.

CLASH OF THE GIANTS
Mon., Feb. 28
AC Milan 3-0 Napoli | Recap
Tue., Mar. 1
Chelsea 2-1 Man United | Recap
Wed., Mar. 2
Arsenal 5-0 Leyton Orient | Recap
Sat., Mar. 5
Arsenal 0-0 Sunderland | Recap
Man City 1-0 Wigan | Recap
Juventus 0-1 AC Milan
Sun., Mar. 6
Liverpool vs. Man United
Wolves vs. Tottenham
Lazio vs. Palermo
Inter Milan vs. Genoa
Fox Soccer Scores | Video | Photo


But the weekend before admonishing Atkinson for not being "fair or strong," Ferguson was pleased to see United striker Rooney avoid being sent off for his elbow on Wigan's James McCarthy.

Only a free kick was awarded by referee Mark Clattenburg, whose vision of the incident was restricted, and the FA said that FIFA's rules prevented them from taking action against Rooney by reviewing video evidence.

But Blatter maintains that it was possible to act retrospectively, appearing to go against the advice given to the FA by FIFA's disciplinary unit.

"This is up to the discretion of the national association," Blatter said. "They can use video evidence in the discipline and control committee.

"They can impose or change a decision if a red or yellow card has been given to the wrong player. If there's violence the national association can intervene and punish a player - this is permitted at the discretion of the national association."

But FA chairman David Bernstein, who was sitting next to Blatter during a media briefing following the International Football Association Board meeting, insisted that his organization followed FIFA's rules.

"In the Wayne Rooney situation, under FIFA regulations if the referee sees the incident - which in this case he did do - the FA has no authority except in what is called exceptional circumstances, really exceptional," Bernstein said. "If you open the door to 'halfway exceptional' the floodgates will open."

What the FA can do is sanction manager after matches for their criticism of referees. Ferguson was charged with improper conduct for his criticism of Atkinson.

Blatter was asked Saturday whether he is concerned by senior managers like Ferguson questioning the integrity and fairness of referees.

"Everyone deserves fair play," Blatter responded. "Respect starts with self discipline. This is what we are asking everywhere, from youth teams upwards and it is also valid for personalities.

"The higher your position, the higher your responsibility. Those that have more power should be more responsible towards others. This is a principle in life."

If Ferguson is found guilty, he would have to serve a suspension of at least two matches. Half of a four-match penalty for questioning referee Alan Wiley's fitness last season was suspended until the end of this campaign.
 
Wenger: It's United's to lose
RivalsDM
PRINT
RSS
290 comments »


Updated Mar 5, 2011 7:50 AM ET

Arsene Wenger insists the Premier League is Manchester United's to lose even though Arsenal control the route to the title.

If the Gunners win each of their remaining 11 games, starting with Sunderland at Emirates Stadium on Saturday afternoon, they will be crowned champions.

CLASH OF THE GIANTS
Mon., Feb. 28
AC Milan 3-0 Napoli | Recap
Tue., Mar. 1
Chelsea 2-1 Man United | Recap
Wed., Mar. 2
Arsenal 5-0 Leyton Orient | Recap
Sat., Mar. 5
Arsenal 0-0 Sunderland | Recap
Man City 1-0 Wigan | Recap
Juventus 0-1 AC Milan
Sun., Mar. 6
Liverpool vs. Man United
Wolves vs. Tottenham
Lazio vs. Palermo
Inter Milan vs. Genoa
Fox Soccer Scores | Video | Photo


Arsenal trail United by four points with a game in hand and the May Day showdown in north London between the title rivals looks to be pivotal.

But Wenger insists that as leaders, Sir Alex Ferguson's men remain in the driving seat.

"No, it's not ours to lose, it's United's to lose. If you look at the bookmakers, they favour United," he said.

"Mathematically it's in our hands but that doesn't mean that it's our to lose because if you look at the fixtures, we have difficult games.

"And I would say exactly the reverse: it's ours to win more than ours to lose, because they are in a leading position.

"So it's down to us, to our good behaviour, to win it.

"I don't count too much on United feeling the pressure. I count more on my team than on any weakness of them."

Arsenal's cause was given an enormous shot in the arm with United's defeat by Chelsea in midweek.

"It was all United in the first half and all Chelsea in the second," said Wenger.

"When Chelsea stepped it up, you could see it coming, especially after Wayne Rooney missed the chance to make it 2-1.

"You cannot say United's form has been poor - they have been dominant at home - and we should not expect any weakness from them."

Aaron Ramsey is included in the squad for Saturday's game and could make his first Arsenal appearance since breaking his leg at Stoke in February last year.

Wenger says Ramsey is showing no lingering after-effects from the injury and stresses his case is different to that of Eduardo.

"Eduardo had problems with the limitation of his ankle mobility when he came back - he was not able to bend his ankle completely when running at full speed," he said.

"He needed second surgery, but Aaron has no limitations in his movement.

"I don't see any problems with Ramsey's commitment in tackles."
 
Torres: I know I must score goals
RivalsDM
PRINT
RSS
20 comments »


Updated Mar 5, 2011 7:10 AM ET

Fernando Torres admits he must start scoring for Chelsea as he looks finally to break his duck against Blackpool on Monday.

BARCLAY'S PREMIER LEAGUE
Tue., Mar. 1
Chelsea 2-1 Man Utd | Recap
Sat., Mar. 5
Birmingham 1-3 West Brom | Recap
Arsenal 0-0 Sunderland | Recap
Bolton 3-2 Aston Villa | Recap
Fulham 3-2 Blackburn | Recap
Newcastle 1-2 Everton | Recap
West Ham 3-0 Stoke City | Recap
Man City 1-0 Wigan | Recap
Sun., Mar. 6
Liverpool vs. Man Utd
Wolves vs. Tottenham
Mon., Mar. 7
Blackpool vs. Chelsea
BPL Scores | Table | Fixtures


Torres has flopped in front of goal since his £50million move from Liverpool, drawing a blank in each of his four matches for the Premier League champions.

Manager Carlo Ancelotti claimed after Tuesday night's win over Manchester United that he does not ask his strikers to score.

But Torres accepts he was not bought to fire blanks and is confident that once he bags his first for the club, the floodgates will open.

"I know I'm here to score goals," he told Chelsea TV. "It's the job of the striker, so hopefully I can score the first and I'm sure it will be the first of many."

Torres has previously insisted it was always going to take time for him to settle at Stamford Bridge.

He revealed he is still finding his feet but believes he is beginning to adapt to Chelsea's style of play and is building up his match fitness following an injury-plagued 2010.

"Trying to settle here, but much better, much better fitness," he said. "I felt the other day against Man United very good, sharp.

"So, waiting for the first goal and excited about that possibility.

"Hopefully, I can score against Blackpool."
PRINT
RSS

Member Comments

Please note by clicking on "add a comment" you acknowledge that you have read the Terms of Use and the comment you are posting is in compliance with such terms. Be polite. Inappropriate posts may be removed by the moderator.
LOG IN TO ADD A COMMENT
Page
1
of 2

PREV
NEXT

NEXT

Report Abuse
ManURebel
3/6/2011 1:18:00 AM
I bet if he dyed his hair blond again he would instantly start to score again. LOL
Report Abuse
govcuadtooo
3/5/2011 10:09:19 PM
################################

retail or wholesale price for you

################################
Polo tshirt $12

Jame shoes $40

Air jordan(1-24)shoes $33

Jordan Spizike shoes $35

Jordan 2010 shoes $40

Nike shox(****) $35
Handbags(lv fendi d&g) $35
Tshirts (ed hardy,lacoste) $16

AF tshirt $25

Jean(True Religion,VERSACE,coogi) $30
Sunglasses(Oakey,gucci,Armaini) $16
New era cap $15

FREE sHIPPING

retail or wholesale price for you

WELCOME TO OUR WEBSITE
Report Abuse
Delpiero_ALA_Rooney10
3/5/2011 8:05:31 PM
Rooney better than Torres last season and this season
Report Abuse
sonixex
3/5/2011 6:37:15 PM
I wonder what was his logic for that statement. Lemme see, focal point of the team, my position is striker, currently Drogba sits on bench after my arrival, bought for 50m by a team having a subpar season..mmm I must be here to score goals.

This has the potential of becoming the next Shevchenko deal. With that moolah Chelsea could have strengthened 2 positions considerably with Hulk and Sakho with enough left over for Roman girlfriend.
Report Abuse
JC_YNWA
3/5/2011 4:18:34 PM
Mentally Torres is a genius, in reality he is more like sloppy seconds. The only floodgate he will open is Rom's flood of tears when he realizes just how much he pissed away in this deal.
Report Abuse
SpidermanItalia
3/5/2011 11:21:28 AM
Never underestimate the power of Ian Holloway and his zombie cows.
Report Abuse
MyBlues3
3/5/2011 11:18:28 AM
Blackpool without Adam. He ought to put one in the net.
Report Abuse
BarcaStyle
3/5/2011 10:04:41 AM
Haha, unfortunatley that's what's ging to happen eventually. Chelsea will sack Ancelotti if he will not bring the CL home. He is out of reach fpr the BPL title, the only hope he has is the CL competition. I wish this guy a lot of luck as in my opinion he is a good manger, but come on since you have already spent 50 mil on Torres at least try to reorgenise the team and make position changes.
Report Abuse
MANUK
3/5/2011 9:51:15 AM
Not according to the new Roma manager, sorry I meant Ancelotti.....oops!
Report Abuse
BarcaStyle
3/5/2011 9:11:57 AM
Hey PhilHotSpur, I can't wait for the Tottenham to spank Milan. You guys showed some first rate moments at San Siro. I hope this time Bale will be fit and you can kick Milan's **** 2-0. I hate Robinho he thinks he is better or greater than any club. Anyway, good luck to you guys.
LOG IN TO ADD A COMMENT
Page
1
of 2

PREV
NEXT

NEXT







PL Manager Bite: Arsene Disappointed
Posted: Mar 06, 2011
Don't miss Arsene Wenger's post match interview as he discusses his feelings on ...


PL Highlights: Arsenal/Sunderland
Posted: Mar 06, 2011
Arsenal missed their chance to close the gap on Man Utd after a scoreless draw a...


PL Highlights: Man City/Wigan
Posted: Mar 05, 2011
Manchester City earned a very narrow 1-0 victory over Wigan thanks to another ga...


PL Highlights: West Ham/Stoke
Posted: Mar 05, 2011
Demba Ba gave West Ham their first goal and a 3-0 win over Stoke, taking them ou...


PL Highlights: B'ham/West Brom
Posted: Mar 05, 2011
Roy Hodgson celebrated his new role with a 3-1 win over Carling Cup Champions Bi...
MORE FOXSOCCER VIDEO »
Blatter: FA could have punished Man Utd's Rooney | PL WRAP
Wenger: Premier League title is Manchester United's to lose
Chelsea striker Torres says he knows he must score goals
Reina: I won't swear my eternal love for Liverpool now
Wenger will speak up for Toure | Redknapp: City will miss Kolo
Chelsea boss Ancelotti calls on defender Luiz to keep cool
Former Chelsea boss Grant believes Cole is a good person
Dalglish ready for Fergie mind games | Carra fighting fit
Ferguson expected to appeal ban | Cantona loved kung fu kick
Newcastle loanee Ireland hits out at Villa boss Houllier

MORE NEWS »


More than Sports on MSN
Best sports rivalries of all time
Active or lazy vacation?
Bing: Unemployment lowest in 2 years
This week's most-watched viral videos





USA
USA
MLS Home
MLS Scores
MLS Fixtures
MLS Standings
MLS Stats
MLS Video
WPS
PREMIER LEAGUE
Premier League Home
Premier League Scores
Premier League Fixtures
Premier League Standings
Premier League Stats
Premier League Video
Premier League TV
CHAMPIONS LEAGUE
Champions League Hom
 
Wenger will speak up for Toure
RivalsDM
PRINT
RSS
6 comments »


Updated Mar 5, 2011 7:56 AM ET

Arsene Wenger has said he would be willing to act as a character witness when Kolo Toure bids to avoid a two-year ban for failing a drugs test.

BARCLAY'S PREMIER LEAGUE
Tue., Mar. 1
Chelsea 2-1 Man Utd | Recap
Sat., Mar. 5
Birmingham 1-3 West Brom | Recap
Arsenal 0-0 Sunderland | Recap
Bolton 3-2 Aston Villa | Recap
Fulham 3-2 Blackburn | Recap
Newcastle 1-2 Everton | Recap
West Ham 3-0 Stoke City | Recap
Man City 1-0 Wigan | Recap
Sun., Mar. 6
Liverpool vs. Man Utd
Wolves vs. Tottenham
Mon., Mar. 7
Blackpool vs. Chelsea
BPL Scores | Table | Fixtures


The Arsenal manager spoke to his former player on Friday after he became aware of Toure's predicament.

Wenger confirmed the defender's belief that a banned substance was in a slimming tablet belonging to his wife that he took in order to combat a growing weight problem.

And whilst the Frenchman was not exactly following the ethical code of condoning the use of drugs in sport by claiming the 29-year-old had been unlucky to get caught, he did confirm his willingness to speak up on Toure's behalf should it be required.

"Yes," said Wenger, when asked whether he would be a character witness.

"Kolo is genuine, honest and highly motivated to work every day.

"The problem was getting him off the pitch, not putting him on it.

"He was unlucky because he was done in the doping control against Manchester United when he didn't play. That makes it one chance out of nine to be picked.

"It was completely the kind of stupid thing that can happen when you're punished in life.

"Cross the road, don't look right or left and boom. Half the people don't ask if you deserve it, if you're caught, you're caught."
PRINT
RSS

Member Comments

Please note by clicking on "add a comment" you acknowledge that you have read the Terms of Use and the comment you are posting is in compliance with such terms. Be polite. Inappropriate posts may be removed by the moderator.
LOG IN TO ADD A COMMENT
Page
1
of 1

PREV
NEXT

NEXT

Report Abuse
irishchickie
3/6/2011 12:58:50 AM
*guilty
Report Abuse
irishchickie
3/6/2011 12:58:26 AM
sounds like an "only guikty if you get caught" philosphy, Wenger.. very respectable..

I dont feel bad for any of these guys caught doping.. they are professional athletes.. they make a living with their bodies.. they are aware that there are anti doping tests all the time... the only "stupid thing" that happened here was thar he took a tablet (no matter where it came from) that he "supposedly" had no idea what it contained... now THAT is stupid indeed..
Report Abuse
ManURebel
3/6/2011 12:37:35 AM
He also wears high pumps. LOL
Report Abuse
mightymeath1
3/5/2011 1:18:53 PM
yes, arse en will tell them that is is typical arse nal culture to take women's perscription drugs, wear women's lingerie and makeup... all very common practice for gunners...
Report Abuse
larryjacobs
3/5/2011 8:35:45 AM
I'd be careful, if I were Wenger. You don't know if Toure sold you a lie and then you get an egg on your face. Why would City suspend him, I wonder? Do they know more than Wenger?
Report Abuse
RedWhiteAndOrange
3/5/2011 8:01:06 AM
That's too bad....
LOG IN TO ADD A COMMENT
Page
1
of 1

PREV
NEXT
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom