Michezo magazetini leo...

Michezo magazetini leo...

Status
Not open for further replies.
Simba yaikuna FIFA


na Makuburi Ally


amka2.gif
SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (FIFA), limeipongeza Simba ya jijini Dar es Salaam kwa kuvuka hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika na kutakiwa kutokata tamaa mbele ya Mabingwa wa Afrika, TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC).
Simba imevuka hatua hiyo juzi baada ya juzi kuilaza Elan De Mitsoudje ya Comoro kwa mabao 4-2, hivyo sasa kukutana na mabingwa watetezi TP Mazembe kati ya Machi 18 na 20 kabla ya kurejeana Aprili Mosi hadi 3 mwaka huu.
Akizungumza katika uzinduzi wa semina kwa viongozi wa klabu za Ligi Kuu Tanzania Bara, Mkurugenzi wa Elimu, Ufundi na Maendeleo ya Soka wa FIFA, Jurg Nepfer, alisema mafanikio hayo ni matunda ya juhudi za wachezaji, makocha na viongozi wa timu hiyo.
Nepfer alisema, Simba wanatakiwa kujiandaa ipasavyo katika michezo yake dhidi ya Mazembe ambayo ni mojawapo ya timu bora barani Afrika.
Aidha Nepfer alisema kwa mpangilio huo Simba ndio klabu mojawapo ambayo ni mfano wa kuigwa kutokana na maendeleo iliyonayo katika mashindano ya kimataifa.
Awali kabla kuanza kwa semina hiyo, viongozi wa klabu za Yanga, Toto Africans, Kagera Sugar na Polisi Tanzania hawakuwepo katika semina hiyo.
Naye Makamu Mwenyekiti wa Simba, Godfrey Nyange Kaburu, alisema nguvu zao sasa wamezielekeza kwa Mazembe ambayo hawaiogopi kutokana na kuwa na historia bora ya mashindano ya kimataifa kama hayo.
Kaburu alisema, mchezo kati yao na Mazembe unatarajiwa kuchezwa Machi 18 jijini Lubumbashi, DRC ambapo kwa sasa wanajipanga kwa programu ambazo Kocha Mkuu, Patrick Phiri, amewasilisha kwa uongozi.
Kaburu alisema, pamoja na mazoezi kutoka Ligi Kuu Tanzania Bara, Phiri pia atatengeneza vitu vya ziada ambavyo vitafanikisha kuifunga Mazembe.
"Simba ina historia ya mwaka 2003 ilipowaadhibu waliokuwa mabingwa watetezi, Zamalek ya Misri tulipowafunga nyumbani kwao baada ya kuwa mabingwa wa Afrika mwaka 2002, hivyo inaweza kujirudia kwa Mazembe," alisema Kaburu.
Aidha, Kaburu alisema, wanaipa uzito mechi hiyo kutokana na sababu kwamba asilimia kubwa ya wadau wa soka watataka kufahamu kitakachotokea ambapo Simba watatumia upenyo ambao Mazembe hawatosahau.



h.sep3.gif

 
Kipingu: Wafadhili msimwage fedha tu


na Makuburi Ally


amka2.gif
SERIKALI imewataka wafadhili hususan wa klabu za Ligi Kuu hapa nchini kuwaelekeza viongozi wake badala ya kuwamwagia fedha nyingi ambazo haziwasaidii na badala yake kunakuwa na migogoro kila kukicha.
Akizungumza katika hafla ya ufunguzi wa semina ya siku nne kwa viongozi wa timu za Ligi Kuu Tanzania Bara inayoendelea katika hoteli ya White Sands jijini Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT), Kanali mstaafu Idd Kipingu, alisema klabu zifanye kila linalowezekana kuboresha maendeleo ya soka.
Kipingu alisema, klabu zimejaa migogoro isiyokuwa na mipangilio ambayo inavuruga soka la Tanzania hali inayoondosha dhana ya maendeleo ya sekta hiyo kama zilivyo nchi zilizopiga hatua kisoka.
"Klabu za Tanzania ukizipa fedha nyingi bila ya uongozi makini na thabiti, ugomvi wake utaamuliwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania badala ya polisi," alisema Kipingu.
Kipingu alisema, semina hiyo ambayo ilianza jana ni kwa ajili ya kukumbusha ile ya mwaka 2007 iliyofanyika Bagamoyo, Pwani ambayo ilishirikisha viongozi wa klabu za Ligi Kuu.
Naye Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Leodegar Chilla Tenga, alisema, semina hiyo inalenga kutafakari waliyojifunza Bagamoyo 2007, kwa ajili ya kujipanga na mashindano ya kimataifa.
Tenga alisema ili kufikia lengo hilo, inatakiwa vigezo vinavyotumika kwa nchi zilizoendelea kama Brazil, Ujerumani na kwingineko, vitumike ipasavyo kwa soka letu, ambapo baadaye itatakiwa viongozi wa klabu wawe na sifa zinazofaa kuongoza klabu hizo.
"Baadaye itakuwa kama viongozi hawakidhi vigezo vya kuwa na sifa za uadilifu wa maendeleo ya soka, timu yao haitoshiriki mashindano yanayotambuliwa na Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF)," alisema Tenga.
Mkurugenzi Mkuu wa Maendeleo ya Elimu wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), Jurg Nepfer, alisema, viongozi wa klabu za Ligi Kuu wakiboresha maendeleo ya soka, Ligi Kuu itakuwa bora sambamba na timu ya taifa.



h.sep3.gif

 
Tamim atua kumkabili Ashraf
• Aahidi mchezo safi, kutorejea ya 2009

na Samia Mussa


amka2.gif
BINGWA wa uzito wa juu Afrika Mashariki na Kati Awadhi Tamim ‘Big Brother’ amewasili nchini jana kutoka Sweden kwa ajili ya kutetea mkanda wake dhidi ya Ashraf Suleiman wa Zanzibar.
Akizungumza baada ya kuwasili katika uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam jana, Tamim alisema kuwa, amejiandaa vema kuhakikisha mkanda huo anabaki nao kwa mara nyingine tena.
Alisema, kitu kinachomsukuma kuutetea mkanda huo ni kutokana na kuupata kwa shida sana, baada ya kumpiga KO bondia Thomas Ukusi wa Kenya.
Tamim alisema, kutokana na maandalizi aliyoyafanya nchini Sweden, Watanzania watarajie kupata mambo mazuri kutoka kwake na kusisitiza ataonyesha kiwango tofauti na alivyozoeleka.
“Napenda kuwaambia mashabiki na Watanzania kwa ujumla kwamba mimi kutokuwepo Tanzania sio tatizo na hakuwezi kunifanya nishindwe kutetea mkanda, bado niko vile vile na zaidi nina mambo mapya ambayo mtayapata siku hiyo,” alisema Tamim.
Aidha, aliwaahidi mashabiki wake kwamba hayatatokea kama yale ya awali kwenye pambano lao lililofanyika Julai 18, 2009 na kuvurugika hivyo kukosekana mshindi wa pambano hilo.
Alifafanua kwamba ameishapigana mapambano matatu nchini Sweden na kushinda mawili huku akipoteza moja, hivyo alimtaka Ashraf kujiandaa kupigwa kwa KO siku hiyo.
Pambano hilo linatarajiwa kuchezwa Machi 5 katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam, ambako mshindi atavaana na bingwa wa Afrika, Joseph Chingangu wa Zambia.



h.sep3.gif


juu
 
Birmingham City 0-2 Newcastle


RivalsDM



PRINT RSS



Updated Feb 15, 2011 7:30 PM ET
Goals from Peter Lovenkrands and Leon Best secured Newcastle a 2-0 Premier League win over Birmingham at St Andrew's on Tuesday night.
Newcastle registered their first victory of the post-Andy Carroll era.

Lovenkrands opened the scoring after four minutes and then Best struck early in the second period to wrap up the points for the Magpies.
Birmingham enjoyed a fair share of possession but lacked a cutting edge as they suffered their first defeat in six games.
Newcastle had picked up only two points from three games since Carroll's £35million departure to Liverpool on the final day of the January transfer window.
But they looked the more threatening throughout the 90 minutes, with Jose Enrique surging forward from left-back to good effect. They were well marshalled in midfield from skipper Kevin Nolan and were a constant threat on the counter-attack.
Nikola Zigic, who had scored in the previous three games, posed the biggest threat for the home side.
Newcastle got off to a dream start in the rainswept conditions with Lovenkrands putting them ahead after only two minutes.
Enrique's original cross was cleared after he had skipped past Sebastian Larsson but Jonas Gutierrez pounced on the loose ball and delivered a testing low centre to the near post.
Lovenkrands was first to react and he slid in front of Roger Johnson and drilled his shot past Ben Foster. It was his fourth goal of the campaign.
Blues looked shaky and more good play by Enrique found skipper Nolan inside the box but he did not extend Foster.
Former Newcastle striker Obafemi Martins showed good skill to get past Mike Williamson but Steve Harper was alert to the situation.
Birmingham were now in the ascendancy possession-wise and Johnson headed just wide from Larsson's free-kick
Then Harper did well to turn aside Zigic's shot on the turn from inside the box after good play by Barry Ferguson.
Nolan became the first player to be yellow carded for bringing down Bentley in full flight after 36 minutes.
Midfielder Craig Gardner came close to equalising five minutes before the interval. The midfielder hammered a 20-yard drive just wide after being teed up by Larsson who cut into the box before pulling the ball back.
Newcastle doubled their lead four minutes into the second half through Best's fifth goal of the campaign as Birmingham were again caught cold.
Gutierrez delivered a left-wing cross to the far post and Best got above the normally-dependable Johnson to head home.
Barton was yellow-carded for a challenge on Liam Ridgewell.
Larsson made a crucial challenge to deny Best a second goal after good play by Cheik Tiote
Magpies boss Alan Pardew brought on Nile Ranger for the limping Lovenkrands after 65 minutes.
Johnson was well wide with an acrobatic effort while at the other end Foster gathered a rising drive from Tiote.
Zigic had a great chance to reduce the arrears but headed over from Ridgewell's pinpoint cross when unmarked.
Johnson forced Harper to save his low header from Bentley's centre and substitute Kevin Phillips miskicked inside the box when well placed.
But Birmingham seldom threatened to salvage anything tangible from the game.
 
Kocha Morani awatia moyo wachezaji Send to a friend Tuesday, 15 February 2011 19:44 0diggsdigg

Calvin kiwia
KOCHA wa Morani FC, Manyara Musa Bakari amewataka wachezaji wake kutokata tamaa na kujituma kwa nguvu zote ili kuhakikisha wanaibuka na ushindi kwenye mchezo wao dhidi ya Polisi Morogoro kesho na kurudisha matumaini ya kushiriki Ligi Kuu msimu ujao.

Mchezo huo utapigwa kesho kwenye Uwanja wa Mkwakwani, Tanga na kutanguliwa na mchezo kati ya wenyeji Coastal Union dhidi ya Tanzania Prisons ikiwa ni michezo ya kutafuta nafasi ya kupanda Ligi Kuu msimu ujao.

Bakari aliliambia Mwananchi jana kwa simu kuwa licha ya timu hiyo kupoteza michezo yake mitano na kutoka sare mmoja bado hajakata tamaa ya kupanda kucheza ligi kuu.

"Siku zote hakuna kitu kibaya kama kukata tamaa hivyo namewaambia wachezaji wangu wasikate tamaa kwani lolote linaweza kutokea kwenye soka," alisema Bakari.

Kwa upande wao Polisi Moro kupitia kocha wao Jonh Tamba aliliambia Mwananchi kuwa kikosi chake kipo kamili kukabiliana na Morani FC.

"Nafasi ya kucheza ligi kuu bado tunayo kwasababu imesalia michezo mita?tu na kama tutashinda yote tutafikisha pointi zaidi ya kumi," alisema Tamba.

Morani FC na Polisi Morogoro ndizo zinashikilia nafasi za mkiani kwenye msimamo wa Ligi Daraja la Kwanza hatua ya Fainali inayoendelea kushika kasi yake mkoani Tanga
 
Maonyesho ya Harusi 2011 maboresho zaidi


na Mwandishi wetu


amka2.gif
MAONYESHO ya Pili ya Harusi Tanzania ‘Harusi Trade Fair', mwaka huu yanatarajiwa kuvutia zaidi kutokana na maboresho kadhaa yaliyofanyika.
Muaandaaji na msimamizi wa maonyesho haya ya aina yake Tanzania, Mustafa Hassanali, alisema, maandalizi kwa ajili ya tukio hilo yanakwenda vema yakijumuisha wataalamu waliobobea katika nyanja zote zinazohusiana na suala zima la harusi.
"Maonyesho ya mwaka huu yatakuwa makubwa, mazuri na yenye kuvutia zaidi ya mwaka uliyopita na tunatazamia kuyafanya yawe maonyesho makubwa zaidi kwa ukanda huu kwa miaka ijayo," alisema.
Alisema, hadi sasa maonyesho ya mwaka huu tayari yameishawavutia zaidi ya washiriki 32, wakiwemo walioshiriki mwaka jana na wapya.
Aliongeza kuwa Harusi Trade Fair 2011, uboreshaji wake umevuka kutoka siku mbili za maonyesho hadi tatu kwa mwaka huu, huku likiongezewa na kujumuisha vionjo vingi zaidi.
"Harusi ni tukio zuri, ambalo hutokea mara moja tu, huku likiunganisha familia na jamii pamoja, hivyo nia yetu ni kuwapa maharusi mahitaji yao yote muhimu kwa pamoja na kwa wakati mmoja na maonyesho haya ndiyo sehemu muafaka kwa hilo," alisema Hassanali.
Hassanali alisema maonyesho haya hufanyika kila mwaka ambapo huwaleta pamoja wahusika wote wa mambo ya harusi, katika kujenga na kutengeneza mtandao wa kimafanikio baina yao.
"Ndio maana maonyesho haya yamekuwa ni ya kwanza na ya aina yake Tanzania, ambapo kwa mwaka huu yatapambwa na vitu kama keki, maua, wapiga picha, magauni ya Harusi, bila kusahau mengi na yenye ubunifu katika harusi," alisisitiza Hassanali.
Harusi Trade Fair 2011, yanatarajiwa kurindima kuanzia Machi Mosi hadi 3 kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.


h.sep3.gif

 
TBL yatia mkono bonanza la wanahabari


na Shehe Semtawa


amka2.gif
KAMPUNI ya Bia Tanzania (TBL), imekubali kudhamini Bonanza la Waandishi wa Habari linalotarajiwa kulindima Machi mwaka huu jijini Dar es Salaam.
Hayo yalithibitishwa na Meneja Uhusiano na Mawasiliano ya Umma wa Kampuni hiyo, Editha Mushi, wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana.
Alisema, kama inavyofahamika siku zote, TBL imekuwa karibu na waandishi wa habari katika masuala mbalimbali na ndio sababu imeweka nguvu zake kwenye bonanza la mwaka huu.
"Kwa kutambua hilo, TBL itadhamini bonanza la mwaka huu kwa kugharimia shughuli zote za siku hiyo itakapofika," alisema Mushi.
Mushi alisema TBL itahakikisha bonanza hilo linafana na linakuwa la aina yake kuanzia katika michezo, vinywaji na vyakula, ili kila mmoja aamini kwamba kweli limedhaminiwa na kampuni ya vinywaji.
Naye Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michecho Tanzania (TASWA), Juma Pinto, alisema tamasha hilo limekuwa likifanyika kila mwishoni mwa mwaka, lakini kutokana na sababu mbalimbali lilishindikana kufanyika Desemba mwaka jana.
"Ikumbukwe uongozi wangu uliingia madarakani Agosti mwaka jana, sasa muda ulikuwa mfupi kuweza kujipanga kufanya jambo kama hili, lakini kutokana na uhusiano mzuri uliopo kati ya TASWA na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), tumefanikiwa kulifanya katika robo ya kwanza ya mwaka 2011," alisema Pinto.
Pinto alibainisha kuwa bonanza hilo litashirikisha wadau wapatao 1,000, vyombo mbalimbali vya habari, ambapo waandishi wa aina zote watashiriki bila kubagua, kwani wote wanafanya kazi moja ya kuelimisha jamii katika nyanja mbalimbali.


h.sep3.gif

 
Tottenham beats AC Milan 1-0 at San Siro


storypage_APlogo_01.png




PRINT RSS



Updated Feb 15, 2011 6:58 PM ET
Peter Crouch's late goal gave Tottenham Hotspur a 1-0 win at Serie A leader AC Milan in the first leg of their Champions League last 16 tie on Tuesday.
Crouch scored with 10 minutes remaining after Aaron Lennon had broken clear from his own half.
Zlatan Ibrahimovic thought he scored an injury time equalizer, but his overhead kick was ruled out for a push on Spurs captain Michael Dawson.


The Milan players' frustration boiled over at the final whistle and Genaro Gattuso appeared to headbutt Tottenham assistant coach Joe Jordan - a former Milan player - before both sets of players began scuffling.
Milan captain Gattuso, who had earlier shoved Jordan during the match, was also booked in the 75th minute and will miss the return leg at White Hart Lane.
It was an unseemly end to a match in which Tottenham again impressed at the San Siro, having recovered from 4-0 down to 4-3 against Inter Milan in the group stage earlier in the season.
Crouch was picked up front, with Jermain Defoe on the bench, and Harry Redknapp had clearly set up his side to target Crouch's height as a way to trouble the Milan defense.
The England international came close to scoring in the fifth. Vedran Corluka crossed from the right, Crouch won the ball in the air, but his shot lacked power and was easily held by Milan goalkeeper Christian Abbiati.
The pair nearly combined again four minutes later when Alessandro Nesta failed to head clear, but Abbiati reached Corluka's cross as Crouch was poised to head on goal.
Abbiati stopped Tottenham again in the 11th. Corluka released Lennon on the right and the goalkeeper pushed away his cross, with Luca Antonini clearing the danger.

Tue., Feb. 15
AC Milan 0-1 Tottenham | Recap
Valencia 1-1 Schalke | Recap
Wed., Feb. 16
Arsenal vs. Barcelona | Preview
AS Roma vs. Shakhtar Donetsk | Preview
Tue., Feb. 22
Copenhagen vs. Chelsea
Lyon vs. Real Madrid
Wed., Feb. 23
Marseille vs. Manchester United
Inter Milan vs. Bayern Munich
CL Scores | Tables | Fixtures

Corluka and Crouch then combined to set up Rafael van der Vaart for a shot, which Abbiati held. It was Abbiati's last major contribution though. Shortly afterward he was stretchered off after colliding with Crouch while challenging for a ball in mid-air and replaced by Marco Amelia.
Finally Milan created a chance, but Spurs goalkeeper Heurelho Gomes blocked Ibrahimovic's powerful effort from the left.
The Swede then felt he should have had a penalty after he went down under a clumsy challenge by Sandro, but referee Stephane Lannoy waved away Milan's appeals.
Tottenham continued to keep the host pinned back and Van Der Vaart had a shot tipped over the bar for a corner by Amelia.
Alexandre Pato replaced Clarence Seedorf at the break, but Tottenham had the first chance of the second half as Van Der Vaart chipped narrowly wide.
Milan hit back immediately. Gattuso crossed from a poorly cleared corner and Gomes scooped Mario Yepes' powerful header out from under the bar.
The match began to increase in tempo and Mathieu Flamini was booked for a foul on Corluka that led to the Croat being carried off on a stretcher. He returned to the bench on crutches with his right foot bandaged.
The Brazilian again denied Yepes in the 60th diving to his right to block the Colombian's header after Thiago Silva had whipped in a corner.
Spurs scored when Lennon led a counterattack from his own half. After rounding Yepes and drawing Nesta, he squared across goal for Crouch to have the simple task of slotting the ball low past Amelia into the corner of the goal.
In injury time Dawson came to his side's rescue when he flung himself at Robinho's shot before Ibrahimovic's acrobatic effort was ruled out.
 
Ngoma Musica yamtwaa Sure wa Talent Band


na Abdallah Menssah


amka2.gif
MKUNG'UTAJI mahiri wa gitaa la besi wa bendi ya muziki wa dansi ya Talent, Mbwana Sure, ameipa kisogo bendi hiyo inayoongozwa na nguli wa uimbaji, Hussein Jumbe, na kuhamishia virago Ngoma Musica.
Katika mazungumzo na mwandishi wa habari hizi yaliyofanyika nyumbani kwake Tandika, jijini Dar es Salaam jana, Sure alisema kuwa amejitoa Talent Band na kujiunga na Ngoma Musica ili kutafuta maslahi zaidi.
Aidha, Sure alisema kuwa ameingia Ngoma Musica mwishoni mwa wiki iliyopita, ambapo tayari ameanza kushiriki maonyesho mbalimbali na bendi hiyo inayokuja juu kwa kasi hivi sasa.
"Naahidi kuwapa wapenzi pamoja na mashabiki wangu mambo matamu zaidi nikiwa na bendi hii inayokusanya nguli kadha wa kadha wa miondoko ya dansi hapa nchini," alisema Sure.
Aidha, Sure alieleza kuwa ili kuwadhihirishia mashabiki kwamba amejiunga Ngoma Musica kikazi zaidi, hivi sasa yuko katika mkakati kabambe wa kuachia kibao moto wa kuotea mbali ambacho bado hajakipa jina.



h.sep3.gif

 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom