VERITE-NUE
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,481
- 1,450
Zamani mwanaume alikua anaoa sababu ya upendo...
Na mwanamke alikua na uwezo wa kuolewa na mtu asiyempenda na maisha yakasonga.
Lakini saivi mwanaume anaoa mwanamke ambaye anajua anafaa kua mama wa familia, yani wife material...
Alafu anatafuta mchepuko ambaye ndo type yake; ndo maana michepuko wengi wanakua na ujasiri mno hata wa kumtukana mke wa ndoa ...maana mwanaume tayari ashampa Kibali....Kama mume wako anachepuka pambana naye kwanza, shida ipo kwake na sio kwa huyo mchepuko.