Michepuko siyo dili

Michepuko siyo dili

Utingo

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
10,265
Reaction score
8,100
Kuna mshikaji Mmalaysia alimuAga mkewe anaenda China. Mke akamsindikiza hadi airport, kumbe jamaa kaingia na kutoka kisha akazama kwa mchepuko. Sasa jamaa amenasa kwenye apartment ya mchepuko hawezi kutoka maana ndege aliyoaga anasafiri nayo ndiyo ile iliyopotea.
 
Back
Top Bottom