Michepuko noma

Michepuko noma

Muuza Viat

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2022
Posts
2,865
Reaction score
7,472
Ilikua siku ya jmosi mida ya saa sita kasoro usiku nikiwa zangu hom na waif naangalia vipind Azam2 ghafla mara simu ikaanza kuita Kwa namba ngeni,


Baada ya kuichukua simu na kuangalia namba ya mpigaj naona ni ngeni Mzee mzima nikashtuka na kwa vile mim ni mchepukaj muaminifu nikaona kupokea mbele ya waif inaweza leta zahma kwa hiyo nikauchuna na kuweka sailens Ili kesho asbaah nijaribu kumtafuta aliyenipigia na km zari waif hakuhoj saaaaana kwa hiyo maelezo machache tu yakamlizisha.


Siku ya jpili Mzee mzima alfajir lukwil nikadamka km kawaida yangu na kuelekea sokon karume mchikichin,

Lkn wakat nipo njian nikajaribu kuchungulia kwenye simu nikakuta missed call km 50 nyingine namba ngeni pamoja na jamaa zangu wa sokon lkn nikaona ingawaje si kawaida kukuta kiwango kile cha missed na kwa vile naelekea hukohuko nitajua tu kinachoendelea


Hamad nafika machinga complex naambiwa mbele njia imefungwa soko linaungua nikaona hii balaa sasa nikajikuta kivespa changu nimekiacha hata sijajua nimemuachia nan na kukimbia mbio kuelekea sokon,

Ebwana eeee nilichokiona mwili wote ukaisha nguvu ingawaje sikuzimia lkn mpaka nakuja kujua kinachoendelea ilikua mida ya saa moja usubui,

Kumbe zile namba ngeni nilizokuwa napigiwa haikua michepuko walikua jamaa zangu wananishtua kuwa soko linaungua sasa kwa vile nina vimeo nikachukulia kuwa mkeka unaweza chanika.
 
Back
Top Bottom