Write your reply...imagine eti mother house akisafiri nimlete kwenye mjengo apaonee
eti anataka kwenda kuwasalimia wazazi wangu na anataka nimtambulishe kwa baadhi ya ndugu seriously ? non sense kabisa
eti wikiend niwe nalala kwakwe hawa sijui wamepatwa na nini michepuko siku hizi
ni bora watambue nafasi zao