Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,775
- 28,221
Tuwe makini Sana mkuu una michepuko mingapi?Hahahahaha
Mzee mwenyewe mkongwe wa hii sektaHahahaaaa
Aah kwanini mkuu?
Kila kitu kitakaa sawa kabisaAah kwanini mkuu?
NomaNo comment, utupe friji uweke deli la icream ndani, pia umeme ukatike
Nimeshtuka mkuuMichepuko mingine haitambui nafasi zao. Pumbaf kabisa pancho boy.
Sent using Jamii Forums mobile app
Daima siwezi fanya hivyo ni sawa na kujamba ukweniNo comment, utupe friji uweke deli la icream ndani, pia umeme ukatike
endelea kuwa mama huruma, ukija shtuka umeshakuwa deli la askrimuAma kweli wanawake tuna huruma!![emoji134][emoji134]
Achana nae huyo mchepukoWakuu jana mchepuko wangu umegoma kabisa kunipa haki yangu.
Madai yake ni kwamba eti nimfukuze mama watoto nyumbani then nimuoe yeye.
Yaani mimi nitupe friji nje halafu niweke deli la askirimu ndani?
No way.
Yani deli lianze kuvuja ni shida humo ndani
Ana mambo adimu lakini mkuuAchana nae huyo mchepuko
kilicho akilini kitumie