Kamrusha roho au kamwambia ukweli?hapana Lizzy,usichokijua ni giza nene,ya nini mwenzio umrushe roho?mwambie Michellle a m PM Hashy amwambie she was just joking.
nashukuru Kamanda,nini matazamio na ma resolution yako 2012?Hahahaha....Aiseee Bishanga tokea mwaka umeanza hatujakamatana aisee..Heri ya Mwaka Mkuu
Hahahahaha. . . . Ila ukafurahiii mwenyewe? Ngoja ntamshushua yule jamaa.
Mmmh embu niambie bana. . nikikusuta ni mbele kwa mbele.
Nimekusoma mkuu,sitofanya hivyo tena...hasiira hasara wakati mwingine.....!
Mi Kifaransa nilikikimbia, sikipendi ila kuna baadhi ya maneno nayapenda. Kiispaniola kitamu sana aisee. . . . tufanye tuanzishe kadarasa ketu kule kwenye lugha.
Will do dearest. Hehehehehe usinivimbishe kichwa dearest. . . YOUNG. . . yes, BEAUTIFUL . . .hhhmm.
wewe ni He au She?
Eyes! Eyes! lol
. . . . kama ndulele.Eyes! Eyes! lol
Kamrusha roho au kamwambia ukweli?
Kwani alitegemea hatotokea mwingine?
Macho na miguu, meeen!
I can sell my MV Magogoni
Kama kweli hupendi
Mwambie adelete ile post
The Boss anaamini we mdada...mmmmmhhhh!!!!Kila siku tunakula wote afu bado wauliza swali hili?
Leo ntafunua kidogo..
Ntafunua miwani yangu tinted
The Boss anaamini we mdada...mmmmmhhhh!!!!
Raha sana dearest ukijua chakuombea maji na kusema ahsante au samahani. Kale kasentensi ulikokaona kalitusave sana maana tulienda sehemu kimombo hakipandi, mtoto wa kike nikajitutumua utadhani na mie mspaniola.he he he he, tuanze kadarasa kadogo bwana watu wajue hata kusema thank you kwa kispanish/french wakipata safari iwawie rahisi kidogo.....wala sikuvimbishi kichwa dearest, nilichokiona ndo nilichokiandika ...lol
Lizzy umenisoma vizuri chi chat kwenye ule uzi wako asubuhi?
Raha sana dearest ukijua chakuombea maji na kusema ahsante au samahani. Kale kasentensi ulikokaona kalitusave sana maana tulienda sehemu kimombo hakipandi, mtoto wa kike nikajitutumua utadhani na mie mspaniola.
Hehehehe. . . . basi niseme ahsante sana dearest usije ukaacha kunifagilia siku mingine.Lozzzz.
Hehehehe, . . ya nini dearest wakati I was out to impress someone.LolzNa nyie bwana simu za siku hizi zina translator,kiliwashinda nini ku-download applications mtumie? mwenzio hata kijapan translator inanisaidia,japo wakati mwingine siwezi kutamka natemembea na plain paper za kuandikia nikikopi kwa simu ali mradi ujumbe ufike....!!
sana tena sana tu,na ndo maana ndoa nyingi zina survive. Trust me katika hili,bila kudanganyana ndoa kibao zingeshakufa long time,kauongo kana nafasi kubwa sana kwenye mapenzi and for that matter kwenye ndoa.Ile ya "nikipata aliyeko katikati imekula kwangu"?
Yes. . .
Inahusiana na kudanganya?
sana tena sana tu,na ndo maana ndoa nyingi zina survive. Trust me katika hili,bila kudanganyana ndoa kibao zingeshakufa long time,kauongo kana nafasi kubwa sana kwenye mapenzi and for that matter kwenye ndoa.
By the way Hashy kaishia wapi?ukimwona mwambie 'atafutaye hachoki,akichoka.....'
hapana dear,........'akichoka kapata'.Aisee. . . . .
Basi kazi ipo.
Heheehhe "Atafuatae hachoki, akichoka APUMZIKE".