lazima itakua chini sana hata hewa haifiki
we sawa tu
i still luv ya
I need a hug. . .
Anyoooooone. . . . ? . . . . not you. . . someone else.
Dearest umeshalainika au bado unapakwa viungo?
I need a hug. . .
Anyoooooone. . . . ? . . . . not you. . . someone else.
Dearest umeshalainika au bado unapakwa viungo?
hapana, nilipokuweka hewa na mishipa yangu yote ya damu inafika huko....sijui nielezeje nieleweke...why jamani hukuniambia tangu mwanzo, mi nimeteseka hivi?? My love for you can not be measured by anything....!1
Hug Hug Hug ....nimeshalainika ila siamini dearest....maisha yana surprise nyingi sana sana...nasubiri neno kutoka kwa...!!
He he he he, hujiamini Kongosho?? we kunitoa huwezi, mtunze tu TB vizuri...utasaidiwa kuwatoa out wangapi??
Kawekwa kwenye mapapai kadunda
Hajalainika bado
Afu anataka kunirarua, is it fair?
For this sisterhood kulana
Nimeamini Ushoga Kazi!!!
:hug:
Kawekwa kwenye mapapai kadunda
Hajalainika bado
Afu anataka kunirarua, is it fair?
For this sisterhood kulana
Nimeamini Ushoga Kazi!!!
:hug:
Hureee, bora umelainika
Hivi PM ya HC ni namba ngapi?
Natamani niwe wa kwanza kumuonesha huu ujumbe
Hug Hug Hug ....nimeshalainika ila siamini dearest....maisha yana surprise nyingi sana sana...nasubiri neno kutoka kwa...!!
Ngoja nimuongeze na Klorokwin na Uporoto ili ujumbe uwe mzito kabisa...Klorokwin location wapi ngoja nicheki na GPS locator kwanza
Ntakujibu kwa PM hapa
Thank you dearest.
Hahahaha asije tu akasema "moyo wangu hauko kwako tena" maana mambo yatakua si mambo.
Nikisema naoa utaniuliza kama ni serious au masikhara...lol
Nimepitia uzi mzima,ujue TF kuna ka vibe naanza kuka pick hapa ........watu wanne...TF,AD,Hashy na Michelle....looks like TF was hurt,na Michelle wa hurt.....both serious though not fatal wounds....poleni sana wahanga wa maloveee na karibuni sana sana kwenye wodi ya majeruhi wa mapenzi hapa kaunta Jackies!
oh dear,pole,i can understand.Lakini Michelle,sorry to say this,ex wako (on course to BCB) haikuwa vizuri kumwambia,tena openly kwamba kwa sasa kuna njemba nyingine inakuparamia,lol,ungefunika funika na kumwonyesha huna mtu kwa sasa.Ujue sisi wanaume tuna kitu fulani moyoni hata kama wake zetu wanaliwa bora tusijue,tukijua mmmmhhhh!!!!!Tuko serious, tulikutana hapa na tukaachania hapa, na kama ni kurudiana ni hapa hapa...lolest!
Kulana nini tena jamani? ningetaka kukuchukulia ningetangaza hapa? acha kuniharibia basi..BTW sharing is caring...lol
MTM wala hakuna anayekufikia hapa kwa nafasi nilikuweka kwenye moyo... hakuna mwingie kati yao aliowahi hata kukumbuka siku ya kuzaliwa kwangu?? Basi tu, sasa nilijua uko occupied nikaona nijiweke pembeni....lol
Hahahaha!!! Hashy akija hapa anaweza faint...lolinauma sana uchungu.... kumbe Michelle muda wote ule na mi-PM laki na alfu ishirini moyo wake wala haudundi
yaillahi toba!!:A S-eek:
Lol, umeona eeh?? anaweza akabadili mawazo...Kongosho will be in trouble!!
oh dear,pole,i can understand.Lakini Michelle,sorry to say this,ex wako (on course to BCB) haikuwa vizuri kumwambia,tena openly kwamba kwa sasa kuna njemba nyingine inakuparamia,lol,ungefunika funika na kumwonyesha huna mtu kwa sasa.Ujue sisi wanaume tuna kitu fulani moyoni hata kama wake zetu wanaliwa bora tusijue,tukijua mmmmhhhh!!!!!