Michelle Obama kajiachia, Saafi kabisa

"..and that's oval office, my husband is in there somewhere,..he better be cause that's where he said he was"...hehe!
Umefanya huu uzi umekua mgumu zaidi kwa kuongeza msamiati.
Ebu ngoja nisubiri wengine wakuje watutafsirie sisi ambao hatuelewi hii lugha ilio letwa na majahazi
 
"..and that's oval office, my husband is in there somewhere,..he better be cause that's where he said he was"...hehe!

Wekeni ule msemo wenu na kibendera basi?
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Hakuna misamiati Ushimen, nimeileta hivyo hivyo kama alivosema Michelle. 🙂
Michelle anahisi Barack anawezakuwa amempiga changa la macho kwamba yuko oval office kumbe anaji-lewinsky somewhere else?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…