Michelle Obama alipokutana kwa siri na boyfriend wake wa zamani

Im tired of this bullshit praising Michelle as the woman who can make any man a president of US
Hapo tu, ni kama Zai kudai status yake iko juu, na ni juu ya Diamond kupambana kumfikia! Sasa yaliposhushwa mabom ya usagaji na kuuza K, kulia lia na vidosho Dia anavyovicharaza wadau tukajuwa yale yale ya wanawake kupenda kujigambagamba kumbe hamna kitu!
 
Mapenz ya kizungu matam sana.

Natan kuwa romanyic hivyo, ila ndo madem wa kibongo pasua kichwaa
 
Africa hapa ule mgahawa ungefungwa na jamaa angelala Magharibi ndani ya nindo kila siku.
 
Back
Top Bottom